Lyrics

Yeeeeh Nalia na wangu mimi sina Wa kunihurumia Teena Najuta kisa mapenzi mimi sina Wa kunihurumia Mimi Nalia kisa mapenzi mimi sina Wa kunihurumia Teena Nakonda kisa mapenzi mimi sina Wa kunihurumia Mimi jama namupenda yeye Na yeye hanipendi kwanini Mi mwenzenu namupenda yeye Na yeye hanipendi kwanini Baby soory hiii hiii Baby sory sory Baby sory sory sory sory weeeh Baby sory sory Baby mwenzako kwetu mimi sijauaa eeh Nikiamua kurudi muda wowote nakubaliwa Hata nikirudi piaa sishangazi mtu Maana sitakuwa wa kwanza mie nikashangaiwa Oooooooh ooooo Ni mazoea wanaume kuwatesa wake zao nyumbani Ni mazoea wanaume kudhalilisha wake zao jamani Mke yaweza pita hata siku tatu hajamuona mume wake nyumbani Watoto wake wanalia njaa swaumu paka kalala jikoni Yeye yuko radhi kutumia na kimada hata mabilioni Watoto wiki ya tatu wamefukuzwa hawana ada shuleni Baba mtu analanda kutwa na vimada wala aibu aoni Nifanye nini na ndo maana mi nasema mapenzi naogopa Kuteswa mimi jama kwenye mapenzi hizi ndoa msizifanye hivyoo Wengine wataziogopa weeee Kupenda tena mimi tena basi eee Miiimi kupenda sawa nakusubiri basi airpot Kupendapenda ni maumivu ya moyo miimi eee sipendi eeeeee eeee eeeeeee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out