Lyrics

Mbona Unashout by unspoken salaton
Mbona unashout, yes umejam najua nmekosa
Mbona unashout
Maybe I guess nikama umechoka, mbona unashout?
Mbona una act unruly, skuizi hunipendi kama nachocha
Mbona una Gas kiburi (Swali ni)
Back in my head, si mi ndo captain, but In a sinking ship
Ukitaka mapenzi siutalipia na f*ck hii shit si cheap
Nacheki in your eyes, baby una mengi, you got more than anger
Hii ni lightning thunder Bila Tv kila time hukosangi ma-Drama!
Nafeel unaforce kuwa hapa
Ama ulipatakanga backup?
Design umechange Psssh!
Kitu Huniambii niliwacha ku matter
Still nika nakupenda, still sielewi, si Rahisi
Nahope tu ni ndoto na kama ni real Don' wake me up ka Avicii
I got my life lavida, worst mistake, utrip ujipe
I used to think that, Ati having your way will make that difference
Hatuna Ile teamwork, moto ya Penzi nkama ilizimwa, na
Meli ilizama Nkama napimwa nakuskiza nashindwa aaii
Mbona unashout, yes umejam najua nmekosa
Mbona unashout
Maybe I guess nikama umechoka, mbona unashout?
Mbona una act unruly, skuizi hunipendi kama nachocha
Mbona una Gas kiburi (Swali ni)
Kwa mfuko ni Biro, a dollar a Dream mbona iyo candle ya kwetu inadim
Nacheki untary kunificha na it's a feature, kinda your thing
Hii stress ya kwenda nkirudi back to your arms nachoka
Skuizi we even no longer, Skuizi nikama nikiingia unatoka
Na pick-up the pieces, nimekosa tu peace, please nipishe
Ka ni yako ni must ijipe Siezi doubt walisema it's written
Nahope tuta go back basics, uko fiti uko fly ka space ship
Zile vows namedi we ndo ulisema nkikuacha unadedi!
Big ting on set, clap then check, nikifika mi hu-filingi void
Neighbor anateta ka tuna argue, Lazima tu upigange noise
Unataka tu ninja ana coins? kitu nilipewa ni voice
Kama hunitaki yo choice, kitu itabaki ku stress ni mbona
Mbona unashout,, yes umejam najua nmekosa
Mbona unashout
Maybe I guess nikama umechoka, mbona unashout?
Mbona una act unruly, skuizi hunipendi kama nachocha
Mbona una Gas kiburi (Swali ni)
Mbona unashout, yes umejam najua nmekosa
Mbona unashout
Maybe I guess nikama umechoka, mbona unashout?
Mbona una act unruly, skuizi hunipendi kama nachocha
Mbona una Gas kiburi (Swali ni)
Written by: Brian Salaton Lemaindo
instagramSharePathic_arrow_out