Top Songs By Phina
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Phina
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Sarah Michael Kitinga
Komponist:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Ally Mohamed Juma
Produzent:in
Lyrics
Yeah, the Melanin Queen
Other name on the track
Nikitaka mwendo kadi speed nkoleze baby
Tomasa tomasa kiuno nchombeze baby
Usipokuwepo nakuwaza sana we!
Sijazoea mi kuishi bila we!
Siunajua nnavyokupenda we!
Usikatishe movie basi tuendelee
You are one
Kwako sichomoki
Moyo wangu umeupiga lock
Aku siondoki
Na wanajua
Mi kwako kisiki sing'oki
Hata wakileta noti
Aku siondoki
Sio kitoto, kitoto
Kwako nimezama mazima
Sio kitoto, kitoto
Jahazi limezama Safina
Sio kitoto, kitoto
Kwako nimezama mazima
Sio kitoto, kitoto
Jahazi limezama Safina
Give me, give me, don't stop
Come feel me
Give me, give me, don't stop
Nataka unipe
Baby baby don't stop
Aya tena give me, give me, more more
Kama ukichoka uwani, eh
Nipeleke sebuleni, we!
Dereva bila miwani, mh
Nafumaniwa ukweni
Kula nanasi my dear, tujinafasi
Mwengine nani wakunigawia?
Kama sio wewe
Ukinikazia stimu zote utazikata
Mi nataka tuwe ka kijumbe na upatu
Nipe kwa hisia taratibu unavyokata
Kushoto, kulia kanyagia my dear chapa chapa
You are one
Kwako sichomoki
Moyo wangu umeupiga lock
Aku siondoki
Na wanajua
Mi kwako kisiki sing'oki
Hata wakileta noti
Aku siondoki
Sio kitoto, kitoto
Kwako nimezama mazima
Sio kitoto, kitoto
Jahazi limezama Safina
Sio kitoto, kitoto
Kwako nimezama mazima
Sio kitoto, kitoto
Jahazi limezama Safina
Give me, give me, don't stop
Come feel me (kwako sichomoki)
Give me, give me, don't stop
Nataka unipe (moyo wangu umeupiga lock)
Baby baby don't stop
Aya tena give me, give me, more more (aku siondoki)
The Mix killer
Daddy Mwambe
Writer(s): Sarah Michael Kitinga
Lyrics powered by www.musixmatch.com