Lyrics

[Verse 1]
Wema wako kwa wakati wa furaha tu
Wema wako ni ya wakati hata wa machozi
Wema wako haupimiki kwa majira fulani tu
Wema wako ni kila wakati na kila nyakati
[Chorus]
Hata sasa ni mwema
Tunapoimba ni mwema
Tunapolia ni mwema
Tunapocheka ni mwema
[Verse 2]
Tunapopanda ni mwema
Tunapovuna ni mwema
Tunapokosa ni mwema
Tunapopata ni mwema
[Chorus]
Wewe ni mwema u mwema wewe ni mwema ndugu sikia
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Tena wewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Sema unatupenda) unatupenda, unatupenda
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema
(Unatupenda) unatupenda, (Unatupenda) unatupenda
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema
[Chorus]
(Wewe ni Neema) Wewe ni mwema u mwema wewe ni mwema ndugu sikia
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Eeh unanipenda) unanipenda (Unanipenda) unanipenda
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema
(Unanipenda) unanipenda (Unanipenda) unanipenda
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema
[Verse 3]
Wema wako ni kama mchanga siwezi kuhesabu
Wema wako ni kama maji yanayomiminika bila kukoma
Mtu akinge ama asikinge hayataacha kutoka
Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
Tunapopanda ni mwema eeh, eeh, eeh, tunapovuna ni mwema
Hata tunapokosa ni mwema
Tunapopata ni mwema
[Chorus]
(Wewe ni Neema) Wewe ni mwema u mwema wewe ni mwema ndugu sikia
(Kweli ewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Unatupenda) unatupenda (Unatupenda) unatupenda
(Wewe) Wewe ni mwema
(Unatupenda) unatupenda, (Unatupenda) unatupenda
(Ooh wewee) Wewe ni mwema
(Wewe ni Neema) Wewe ni mwema u mwema wewe ni mwema ndugu sikia
(Kweli wewe ni mwema) Wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema
(Unatupenda) unatupenda (Unatupenda) unatupenda
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema
(Unatupenda) unatupenda (Unatupenda) unatupenda
(Wewe ni mwema) Wewe ni mwema
Written by: PAUL CLEMENT
instagramSharePathic_arrow_out