Lyrics

Tapi, P-Mani records, Ares ka kawa Freedom ya expression kutoka wale tunge ozea detention Sahii na collect pension kuroroa kwa session Hii ni just a potion, ku set things in motion Ops take a caution, na ye na feel special Sikuwai dhani ninge pata mention Juu hawa matapeli ujidai makaveli Kujitenga nao mi uyo kwa ferry, nikipaisha meli Umaskini niliumbia kwa heri, after subira alivuta heri Saa mi uyo kwa teli, maisha soft niko usheli sheli Na Sherry wa mi after alitoka Machari-a Juu mashairi ya lipa Gone are the days kutoka koro kocho Ili mean utaland koro koroni Sahii na chapa mboka mdogo niki omoka Kwa rover na land cruise Hizi streets nili pass thru ni cut throat, literally Na wino ka Dan na escape den, figuratively Niki touch mic na torch mic, 3rd degree Two more EPs ni top game, automatically Clout chasing kwa mneti aaiiii uyo si mi After heist, msupa ali elope na mi si mi Rolled dice, change cards add spice Ku reach hizi heights, no coincidence Nilikua nime set sight just added confidence No disguise, bare face still no case hawezi ni-trace Flip a story to a millie pay my billies, turn it over Boom bap vile na leta thriller impeccable timing Many regrets but glad I never picked up a toolie Shout out to a Muli-son ku invite yours truly kwa stu Studied tha game, lay a blueprint, sahii bila brew I'm flipping while they sleeping Facto, hata bila talent Whoever sents they cant spin me Pacho koma kuroroa zangu Mungu ndio judge na a need jury Koma to KDO, dry spells filled my heart with fury Can't lie, man never missed meals au lacked fees Na shukuru wazazi My struggles were mental Convinced my existance ilikua accidental By my own mental Begging to fit in, gravitating to repellents Nikidhani watanipenda, bila guidance Dress code ilikua bummy was not cool like them No matter what I spend, nikitaka to end it all Low moods had to climb tall trees macho chinizee Umri mdogo juu ya mitungi niko deep end Paranoia but na gwaya kumeet shei-to Suicidal thoughts, what kinda talk is that Hii ni Afrika, we dont tolerate weak minds ndio echo za society Weekend challenge, pump pump fear na dishken ya omen All dreams ni una elekea hell, saved by the bell After, alter call iko shuma zaidi ya ganya ya furu Had to dig deep side step hizi thoughts na wicked deeds Na hii si debate (D-Bait) let me vent Ji angalie kiyooni, sioni how really Johni can save you Jioni hawakuoni, moyoni hauna amani, self medicate Bado hauponi effects za ukoloni, ngojea mkombozi Kilicho nguoni ndio ukusosi, checki hizi deposits Infastructure si always proof ya advancement Maendeleo kufikia maeneo Kisha kuchukua resources Wangapi udai kukatishwa maji kabla nyoka aingie pangoni Flashback na Kisha wa mi wa Pango tukiwa Tigoni Utajuaji hii process ukikesha IG changing posses Akili ni possesed, purely for top chefs wanafikia high shelves Apple Gabriel tunaneed another Moses Kuambia uyo fala-o a let my people go Piga nduru kama unataka more
Writer(s): Peter Mutisya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out