Lyrics

Au treat me ka si exist Me na success siemiss Big up Nina Simone coz of you nina see more A beautiful soul imekua so misunderstood Na wish wange take time art ikue understood but most just chase fads God forbid Tik Tok ikue it's all it took Kutoka most overlooked to most overbooked Real talk, afadhali ni unguze kuliko ni serve impure Nimetambua hii mziki tangu nikiwa mless Ongeza ujuzi wa Ares, Kamlesh Daylight robbery, ni kiwa in place zina come less Reliving discography ya mzing Kato Kimbota bars zimekua bless Hao gota wakilola mbota, soon mitambo zita ni let loose Siwezi fuata zao nyayo coz si wise ku compare Nisha chorea so unaweza sema waliponea Hi haters mlidhani nilikua hiatus, na fam Nimekua kwa lab niki work on precision Na faaham hii ilikua best decision kila kitu ni precise Ndio ina sound nice Tafadhali bless and protect my friends and family Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii Hip hopper kiu Kunta Kinte na pita na ukuta Niki trace roots nipate Uhuru, ni truce sio surrender Infact baada ya ku zima mbulu niliwasha yangu nuru, Slowly realised sote tuko njiani na cha muhimu ni kuji discover Life ni about journey more than destination Vile dini true inaku sho Njiani jirani ni wengi wako stranded hope before we depart tu align art na heart Na waki madi the waters si u-see through Juu si ni ile mbogi ili learn ku duff mpararo bila goggles Ashana na hawa ma gargoyles Mi ndio ire charii iripata midas Kwa kira froor wash wash waki do my dance Dere niki ride beat to the top bila silly stunts Naongeza iliki nikipakua bila kiki thou, thats my stance Beat au rhymes what comes first? Either way tracks zina get killed Any day any where tracks zinaget killed Tafadhali bless and protect my friends and family Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii Hao treat me like si exist Mi na success ni siemiss Hao treat me like si exist Mi na success ni siemiss Aliwasha kiko after kupata jiko na si ya meko Mistook her for saving, kumbe ni Maguire Saa ana gwaya bailif juu ya debts the miss took Ukijitenga na mimi tuna burn bridges, it is what it is Sidai iyo campaign about cramp pain, I said what i said What should be understood haineed kua explained Na imati kama haitakua played na umati As long as kuna V.O.D, siwezi complain on what have made Ku sum things up, G.O.D got me n that's something Sometimes uko ahead of the curve Most hits u die a first death, zangu na zi drown na fountain of youth Na si chase love, cos chased love si the best love Busy tuki build DKC hao ni any D they see Only comment ni, lets count up it tuki fika show mwi Tafadhali bless and protect my friends and family Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii Tafadhali bless and protect my friends and family Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii
Writer(s): Peter Mutisya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out