Lyrics

[Chorus]
Umetoka wapi, kazaliwa na nani
I'm guessing we mtamu, we mtamu ka mshkaki
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Kilo ni ngapi, hiyo nyuma imekubali
Pili iekwe wapi ndio ikue rahisi kuingia ndani
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Na mmetoka wapi, kazaliwa na nani
I'm guessing we mtamu, we mtamu ka mshkaki
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Kilo ni ngapi, hiyo nyuma imekubali
Pili iekwe wapi ndio ikue rahisi kuingia ndani
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
[Verse 1]
Lemme spoil your hair baby lemme tell you something
Mi hukulanga fresh, mi skulangi mabaki
Naipendanga homeground kitu safi kama radi
Naskianga unapendanga mh, kwani we ni moto wa shetani
Next thing niko na, after one minute niko na khaki
I know vile ni rare mwanaume akuambie ngeus sitaki
Vile naitafuna ungedhani booty aka juggling
Vile nilijibamba nikabaki out you're asking
[Chorus]
Umetoka wapi, kazaliwa na nani
I'm guessing we mtamu, we mtamu ka mshkaki
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Kilo ni ngapi, hiyo nyuma imekubali
Pili iekwe wapi ndio ikue rahisi kuingia ndani
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
[Verse 2]
Shida ni gani, rada mtaani
Vile we msupa unatest mshikaki ooh mwanangu
Keja kuna mh-mh, venye unatisha wafukuza washikaji
Ooh mwanangu
Na kuna siku mi huchoma picha I guess
Ni sida juu we hufanya zinashika I bet
Na siri ni mi hishinda kwenye Insta nikizozanga mapicha
Na kubambwa na mafilter my new
Mteja hapatikani, oh mwanangu
Nimezaliwa na nani, ooh mwanangu
Mtamu kama sali, ooh mwanangu
Ushapita mtihani
[Chorus]
Umetoka wapi, kazaliwa na nani
I'm guessing we mtamu, we mtamu ka mshkaki
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Kilo ni ngapi, hiyo nyuma imekubali
Pili iekwe wapi ndio ikue rahisi kuingia ndani
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Umetoka wapi, kazaliwa na nani
I'm guessing we mtamu, we mtamu ka mshkaki
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Kilo ni ngapi, hiyo nyuma imekubali
Pili iekwe wapi ndio ikue rahisi kuingia ndani
Oh mwanangu nikikushika utanishtaki
Oh mwanangu nikiuliza utakubali
Written by: Boutross Munene, Mark Munyaka
instagramSharePathic_arrow_out