Credits

KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Jeremy Maina
Jeremy Maina
Songwriter:in

Lyrics

[Verse 1]
Kwanza napenda unavyo pose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaie unaamka sisi bado hatujadoz
Sipotezi wakati bado niko na yo-yo-yo, wo-wo, wo-wo
[Verse 2]
Kwanza napenda unavyo pose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaje unaamka sisi bado hatujadoz
Sipotezi wakati bado niko na yo-yo-yo, wo-wo, wo-wo, wo-wo, wo-wo
[Verse 3]
Venye wa-curse kawaida
Naezakuseti, niseti nini
Unafanya nasahau hadi jina
Waitwa nani, ni Bonita
[Verse 4]
Venye wakas kawaida
Naezakuseti, niseti nini
Unafanya nasahau hadi jina
Waitwa nani, ni Bonita
[Verse 5]
Na kama uko na beef ntawapatia vechii
So mie kama betri niko ever ready
Nashika paka power mambo yangu wavy, baby, kweli-
Na usinidanganye uko fine mama
Wasikuguze wakijaribu hio ni lawama
Naona chuki huku pekee ndio inawasha na-
Mavijana, wanataka ati drama ma
Nipee location nakuambia tukipatana
[Verse 6]
Ntakupeleka na rada tukilinki
Najua pia unapenda vitu kinky
Hizo ndio tabia unapenda ukiwa machingri
Ni bad gyal, ako na degree
Ameenda chuo rada zake huwezi soma
Manigga wanadai kujua ka nishai gonga
I don't kiss and tell nilikuwa tu namchoma
Za ex wake hazikuwanga na aroma
[Verse 7]
Ananijazz, hachoke na hio moshi ni strong
Ananijazz, hachoke na hio kitu ni long
Anadai, nimrecord lakini sura nicrop
Venye naishanda mi ni ka King Von
[Verse 8]
Ananijazz, hachoke na hio moshi ni strong
Ananijazz, hachoke na hio kitu ni long
Anadai, nimrecord lakini sura nicrop
Venye naishanda mi ni ka King Von
[Chorus]
Venye wa-curse kawaida, naeza kuseti, ki sensi mi na
Na unafanya nasahau hadi jina, waitwa nani, ni Bonita
Venye wa-curse kawaida, naeza kuseti, ki sensimilla
Na unafanya nasahau hadi jina, waitwa nani, ni Bonita
[Verse 9]
Napendanga beef naipiga kiss
Chini ikijitoa utanimiss
Kitu ni sucrose nice, kitu ni sweet
Piga kitu stick all night a-conceive
[Verse 10]
Ako na discipline ju ako na nini?
Ako na boyfriend ako na rizz
Ako na mystery yaani mysterious
Ako na boyfriend, ako na me
[Verse 11]
Yeah, maanake atume late unadoz
We nionyeshe ID mi staki jokes
Location private, boss
Usikuwe mnosy joh hi bash si ya manose
Inageuzwa once alafu pause
Ikiturn unalost
Inachanganya the young and the old
The tough and the bold, now if you must know
[Bridge]
Venye wa-curse kawaida, naeza kuseti, ki sensi mi na
Na unafanya nasahau hadi jina, waitwa nani, ni Bonita
[Verse 12]
Kwanza napenda unavyo pose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaie unaamka sisi bado hatujadoz
Sipotezi wakati bado niko na yo-yo-yo, wo-wo, wo-wo
[Chorus]
Kwanza napenda unavyo pose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaje unaamka sisi bado hatujadoz
Sipotezi wakati bado niko na yo-yo-yo, wo-wo, wo-wo, wo-wo, wo-wo
Written by: Jeremy Maina
instagramSharePathic_arrow_out