Lyrics

[Verse 1]
Mi nilidhani mwenzangu una mie
Utanitunza kwa shida na raha
Aibu yetu ya kwako na mie
Isili yetu isivunde chang'aa
[Verse 2]
Ah mimi na wewe si wa kutupiana
Vijembe tushakuwa watu wazima
Kwanza jielewe tazama nyuma na mbele
Bila daftari utapotea shirima
[PreChorus]
Mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
[PreChorus]
Mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
[Chorus]
We mwana washa moto (Chunga, chunga)
Usichochee makaa (Chunga, chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga, chunga)
Usifufue balaa (Chunga, chunga)
[Chorus]
Usiwashe moto (Chunga, chunga)
Usichochee makaa (Chunga, chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga, chunga)
Usichochee balaa (Chunga, chunga)
[Verse 3]
Maji mkononi huwezi kuyashika (Shika)
Na mi mwanadamu si malaika (Ika)
Kabla hujafa hujaumbika
Nitunzie madhaifu yangu ooh
[Verse 4]
Penzi lilinikaba kama tai
Japo uliniahidi mi nawe till I die
Penzi ukalimwaga kama chai
Nami nazima data hadi WiFi
[PreChorus]
Mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
[PreChorus]
Mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
[Chorus]
We mwana washa moto (Chunga, chunga)
Usichochee makaa (Chunga, chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga, chunga)
Usifufue balaa (Chunga, chunga)
[Chorus]
Usiwashe moto (Chunga, chunga)
Usichochee makaa (Chunga, chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga, chunga)
Usichochee balaa (Chunga, chunga)
[Chorus]
We mwana washa moto (Chunga, chunga)
Chunga, chunga
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga, chunga)
Chunga, chunga
[Chorus]
Usiwashe moto (Chunga, chunga)
Chunga, chunga
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga, chunga)
Usichochee balaa (Chunga, chunga)
[Outro]
Chunga, chunga
Chunga, chunga
Chunga, chunga
Chunga chunga
Chunga, chunga
Chunga, chunga
Chunga, chunga
Chunga chunga
Written by: Ismail Juma
instagramSharePathic_arrow_out