Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Willy Paul
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Wilson Ouma
Songwriter:in
Lyrics
[Verse 1]
Katoto hodari, akikata hodari
Kiuno hodari, akipanda hodari
Full shangwe anajiachia
[Chorus]
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi, mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Mama tamu walahi, mama tamu walahi
[Chorus]
Muondoko wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi
Na tukicheza tamu walahi
Tamu walahi, tamu walahi
[Verse 2]
Eti baby anapenda, anapenda njaro za kipole pole
Yaani mwendo wa kobe, kobe, kobe, kobe
Kasheri kanapendaga tu mayai na tu soseji
Alafu mwendo wa kobe, kobe, kobe, kobe
[Refrain]
(Na anafanya) Namwaga jasho sho-sho-sho
Natokwa na pepo popo
Shuti kama ya Ronaldo dodo
Iih
[Verse 3]
Ngozi ulivo nyooka, malaika, my darling
Lalala la-la la-la la-laa
[PreChorus]
Unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe
Kama risasi, eti pepe
Naskia tu pepe
Gurunedi
[Chorus]
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi, mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Mama tamu walahi, mama tamu walahi
[Chorus]
Muondoko wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi
Na tukicheza tamu walahi
Tamu walahi, tamu walahi
[Verse 4]
Mtoto anataka tucheze tu baibuda maimuna hataki pressure
Ooh my lover
Ooh baby ukiniguza wanitia haya (Haya)
Na unavokata chumbani mama unani maliza
[Verse 5]
Ai mama (Mama)
Wanimada (Mama)
Wanimaliza (Mama)
Mmh (Mama)
[Verse 6]
Wanaokudharau, wana roho mbaya
Itabidi wafunge virago warudi walikotoka
Shindwe pepo mbaya
[PreChorus]
Unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe
Kama risasi, eti pepe
Naskia tu pepe
Gurunedi
[Chorus]
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi
Mama tamu walahi
[Chorus]
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Mama tamu walahi
Mama tamu walahi
[Chorus]
Muondoko wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi
Na tukicheza tamu walahi
Tamu walahi, tamu walahi
Written by: Wilson Ouma