Lyrics
Whyne P
C Raj Babee
Wapi Mkali wa Mabiti (Anderwater)
BFM
Bukta Connection Baby Halla
Nilisha Muuliza Chini Ya Maji
Hatambui uko wapi
Nikamuuliza Mpaka Whyne P
Pia Hajui Uko Wapi
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Wangu Moyo
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Yangu Roho
Wanasema Ngojangoja Eti Huumiza Matumbo
So Baby Nilikupenda Tu Kutoka Kitambo
Nikubalia So Uwache Majigambo
Halla Me Halla Me
Nalako Umbo
OK baby The way you move your Body
I don't see anybody Compare to you
Ninapenda Kwa Mapoz
Napia Hayo Mavazi
Wacha Tu Niweke Wazi
Naitaji hio Nafasi
Naitaji Nikuite Lady
Kila Niendapo Daily
Nawe Uniite Darling
Name Nikujibu Honey
Cause You Gave Me Feeling
Hilo Weka Akilini
Without You I'm Nothing
Ndio Nakwambia Halla Me
OK Baby Now Halla Me
Without you I'm Nothing
Ndio Nakwambia Halla Me
Yeah OK Baby Now Baby Halla Me
Yeah Nazid nazid Yeah
Nilisha Muuliza Chini Ya Maji
Hatambui uko wapi
Nikamuuliza Mpaka Whyne P
Pia Hajui Uko Wapi
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Wangu Moyo
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Yangu Roho
Sometimes me nashindwa Nimefanya Kosa Gani
Mpaka Simu Hautaki Kushika Aselani
Zaidi Ya Hilo Baby Hunioni Wa Thamani
Na Unaapa Sometimes Huwezi Ni Thamini
Sii Unajua Kwamba Mi Ni Natuowa
Pamoja Kanisani Tutafunga Ndoa
Mbona Penzi Leo Wataka Kulibomoa
Ukitaraji Nani Mimi Ataniokoa
You Gave Me Feeling
Hilo Weka Akilini
Without You I'm Nothing
Ndio Nakwambia Halla Me
OK Baby Now Halla Me
Without you I'm Nothing
Ndio Nakwambia Halla Me
Nilisha Muuliza Chini Ya Maji
Hatambui uko wapi
Nikamuuliza Mpaka Whyne P
Pia Hajui Uko Wapi
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Wangu Moyo
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Yangu Roho
Wanasema Utamu Wa Penzi Mamy Nikutendwa
Ila Siko Tayari Mimi We Kuenda
Mkimuona mwambieni Bado Nampenda
Aaaah Aaaaah
Ana moyo Wa Huruma Kama Farida
Mpole Mkarimu Kama Dada Tina
Ana Sauti Kaa Shaniz Yakumaliza
Aaah aaah
Mpaka Mgenge Na Mafimbo
Wanani Hurumia
Ninavyo Pata Shida Kukuulizia
Jamani Teddy Na Donde Na Billy Mia
Nisaidieni Kumtafuta
Nilisha Muuliza Chini Ya Maji
Hatambui uko wapi
Nikamuuliza Mpaka Whyne P
Pia Hajui Uko Wapi
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Wangu Moyo
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Yangu Roho
Nilisha Muuliza Chini Ya Maji
Hatambui uko wapi
Nikamuuliza Mpaka Whyne P
Pia Hajui Uko Wapi
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Wangu Moyo
Basi Please Baby Halla Me
Utulize Yangu Roho
Wapi Mzazi
P A Peter Adams
Eyo Lui Mkimuona Mwambieni Namuitaji
Yeah
Mmmh aaaah
Hahaha
BFM
Bukta Connection Baby
Ana moyo Wa Huruma Kama Farida
Mpole Mkarimu Kama Dada Tina
Ana Sauti Kaa Shaniz Yakumaliza
Aaah aaah
Ana moyo Wa Huruma Kama Farida
Mpole Mkarimu Kama Dada Tina
Ana Sauti Kaa Shaniz Yakumaliza
Aaah aaah
Mrudishe mrushe
Bulet Music Anderwater
Written by: Abdallaza