Lyrics

Odi wa Muranga Sim2
Second thaughts ni ka kwetu haziko
Ka nyama tuitishe kia Micheal nashangaa mbona mbichwa ni illegal
Iko sim 2 iko sim 2 doh iko sim 2
Iko sim 2 iko sim 2 cheki bro aaah! Na si ulipe tu
Doh iko sim 2 iko sim iko sim 2
Doh yangu iko sim 2
Doh iko sim 2 iko sim iko sim 2
Cheki bro aaah! Na si ulipe tu
Naona tukikata waters ajabu wacha nioge
Naona nite njeri saa tatu wacha nione
Naona tukikata waters ajabu hadi nichome
Namshow anipee sahi sina adabu wacha tuone
Nipige luku moto kama oven na hizi vitu me husema often
Nawacha pome leo nanoja ka mo eeh
Niko hangii na niko class ya 7
Siradi kitu wcha nishtue tu hellen
Huyo ni mtiaji tacha niulize hapa mbele
Ujinga type we ukaa tu kangethe
Iko sim 2 iko sim 2 doh iko sim 2
Iko sim 2 iko sim 2 cheki bro aaah! Na si ulipe tu
Doh iko sim 2 iko sim iko sim 2
Doh yangu iko sim 2
Doh iko sim 2 iko sim iko sim 2
Cheki bro aaah! Na si ulipe tu
Mbona una smile nika hwezi ichi bila ku smile
Mbona una shine nika huwezi ichi bila ku shine
Luku itabidi tumeende OCPD
Na hao wababs nadir hufanya me niongezw bidii
Si bembelzi we mroge hizo mastingo zinapeana kaswende
Ma yut man haps nje nikaendi
You only live once yolo yolo gang gang
Nje ni blunt aende tu akaiive
Juu sura yrke ilikuwa tu nje
Nye bora munyonye wale is ma big boys sa mbona muwachoche
Iko sim 2 iko sim 2 doh iko sim 2
Iko sim 2 iko sim 2 cheki bro aaah! Na si ulipe tu
Doh iko sim 2 iko sim iko sim 2
Doh yangu iko sim 2
Doh iko sim 2 iko sim iko sim 2
Cheki bro aaah! Na si ulipe tu
Written by: Francis Macharia
instagramSharePathic_arrow_out