Lyrics

You're the air that I breathe You're the life that I live The living water the bread of life Jesus you're my everything You picked me up when I fell down Strengthened my feet on a solid rock You were my eyes when I couldn't see Jesus you're my everything My everything My everything My everything Jesus you're my everything You're my shield Jesus You're my everything You're my maker oh lord You're my everything The strength of my life Jesus My everything Mmh Jesus you're my everything Ooh without you I am lost Wewe ni kila kitu kwangu yesu U kila kitu baba Ooh ni kila kitu kwangu yesu U kila kitu Mmh wewe Yesu u kila kitu Uliiacha enzi yako yesu Wewe ni kila kitu kwangu yesu Ukaja kunikoa U kila kituu baaba Wewe ni kila kitu kwangu yesu U kila kituuu Wewe eeeeeh Yesuuu u kila kituu Wewe ni nguzo ya kuegemea yesu My rock my redeemer My creator my savior The everlasting father Prince of peace you're the light of the world My rock my redeemer My creator my savior The everlasting father Prince of peace you're the light of the world My everything You're my everything My everything Jesus you're everything My everything Mmh Jesus you're my everything You're my maker You're my everything You're my provider You're my everything You're my peace lord My everything Lord Jesus Jesus Mmh You're my everything Mmh wewe ni kila kitu Wewe ni kila kitu kwangu yesu Wewe ni kila kitu kwangu U kila kituu baaba Wewe ni nuru ya ulimwengu U kila kituuu Wewe Yesu Yesuuu u kila kituu Wewe ni fimbo ya kutembelea yesu Wewe ni kila kitu kwangu yesu Muumbaji wangu U kila kituu baaba U mfinyanzi wangu yesu U kila kituuu Wewe yesu Yesuuu u kila kituu Adonai bwana wangu Jehovah nissi U bendera yangu El gibbor u mungu mwenye nguvu Wewe u kila kitu kwangu Nilipoanguka uliniinua Nilipochoka ulinitia nguvu Nilipoachwa ulinikumbatia Wewe u kila kitu kwangu Wewe ni kila kitu yesu Wewe ni kila kitu kwangu Mmh Ni mchungaji mwema U kila kituu baaba Wewe ni mpaji yesu U kila kituuu Wewe yesu Yesuuu u kila kituu Wewe ni amani ya maisha yangu Wewe ni kila kitu kwangu Wewe ni mkate wa uzima U kila kituu baaba Wewe ni maji ya uzima yesu U kila kituuu Peke yako yesu Yesuuu u kila kituu Uliiacha enzi yako yesu U kila kituuu Ukaja kuniokoa yesuuu u kila kituu Mmh sina mwingine kama wewe yesu U kila kituuu Mmh wa kumtegemea Yesuuu u kila kituu Wewe ni tegemeo la maisha yangu My everything Uuuh uuuh Jesus you're my everything Oooh You're all I need Jesus My everything You alone Jesus Jesus you're everything Ooh you're the rock of ages Jesus My lord hallelujah
Writer(s): Ruth Mlay Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out