Top Songs By Neema Gospel Choir
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Neema Gospel Choir
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Neema Gospel Choir
Komponist:in
Lyrics
[Verse 1]
Nuru ya ulimwengu
Chumvi ya dunia
mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
[Chorus]
Nuru ya ulimwengu
Chumvi ya dunia
Mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
[Verse 2]
Kwa neema ya Mungu
Tumestahilishwa
Mimi na wewe tumepewa dhamana
Mawakili wa siri, zake baba Mungu
[Verse 3]
Tena tu mashahidi
Wa wema na uzuri
Wake Mungu tumepewa baraka
Ziwavute wengine waje kwake Yesu
[Chorus]
Nuru ya ulimwengu
Chumvi ya dunia
Mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
[Chorus]
Nuru ya ulimwengu
Chumvi ya dunia
Mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
[Chorus]
Uwepo wetu ni wa thamani
Katika uso wa dunia
Katika uso wa dunia
Nafasi yetu ni ya muhimu
Katika uso wa dunia
Katika uso wa dunia
Uwepo wetu ni wa thamani
Katika uso wa dunia
Katika uso wa dunia
Nafasi yetu ni ya muhimu
Katika uso wa dunia
Katika uso wa dunia
[Refrain]
Mwili wa kristo kanisa la Mungu
Tuungane, kuangaza dunia watu wayaone
Matendo yetu
Tuwe wa moja twende kwa pamoja
Tuungane kungaza dunia watu wayaonee
Matendo yetu
[Refrain]
Mwili wa kristo kanisa la Mungu
Tuungane, kuangaza dunia watu wayaone
Matendo yetu
Tuwe wa moja twende kwa pamoja
Tuungane, kungaza dunia watu wayaonee
Matendo yetu
[Refrain]
Mwili wa kristo kanisa la Mungu
Tuungane, kuangaza dunia watu wayaone
Matendo yetu
Tuwe wa moja twende kwa pamoja
Tuungane, kungaza dunia watu wayaonee
Matendo yetu
[Refrain]
Mwili wa kristo kanisa la Mungu
Tuungane, kuangaza dunia watu wayaone
Matendo yetu
Tuwe wa moja twende kwa pamoja
Tuungane, kungaza dunia watu wayaonee
Matendo yetu
Written by: Neema Gospel Choir