Lyrics

Aliye upande wetu ni Mungu mwaminifu, Yesu mwana wa Mungu ni Mungu mwaminifu

Hujishughulisha, na mambo yetu ni Mungu mwaminifu
Hasinzi, halali ni Mungu mwaminifu

Ametutuma Mungu kuifanya kazi yake, tutafanya
Tutakwenda sote, kutangaza neno lake, watu wapone

Majeshi ya malaika zake, yametuzunguka
Tumeimarishwa na nguvu zake, Bwana Yesu
Majeshi ya malaika zake, yametuzunguka
Tumeimarishwa na nguvu zake, Bwana Yesu
(Tumetumwa) Na Yesu mwenyewe, na Yesu mwenyewe, anatenda kazi pamoja nasi
(Tutangaze neno) Na watu wapone, na watu wapone, Bwana Yesu yupo pamoja nasi

Yesu eeh tutakutumikia wewe
Yesu eeh tutakutumikia wewe
Bwana ndiwe uvuli na msaada kwetu tutakutumikia wewe

Yesu eeh tutakutumaini wewe
Yesu eeh tutakutumaini wewe
Umekuwa mwema, Unatenda mema
Umekuwa mwema, unatenda mema
(Tumetumwa) Na Yesu mwenyewe, na Yesu mwenyewe, anatenda kazi pamoja nasi
(Tutangaze neno) Na watu wapone, na watu wapone, Bwana Yesu yupo pamoja nasi
(Tumetumwa) Na Yesu mwenyewe, na Yesu mwenyewe, anatenda kazi pamoja nasi
(Tutangaze neno lako) Na watu wapone, na watu wapone, Bwana Yesu yupo pamoja nasi
Yesu eeh tutakutumikia wewe
Bwana ndiwe uvuli na msaada kwetu tutakutumikia wewe
Yesu eeh tutakutumaini wewe
Umekuwa mwema, unatenda mema
Written by: Neema Gospel Choir
instagramSharePathic_arrow_out