Top Songs By Neema Gospel Choir
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Neema Gospel Choir
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Neema Gospel Choir
Komponist:in
Lyrics
Neema ya Mungu, neema ya Mungu imetuokoaa
Neema ya Mungu, neema ya ya Mungu ni ushindi wetu
Neema ya Mungu, neema ya Mungu imetuokoaa
Neema ya Mungu, neema ya Mungu ni ushindi wetu
Haleluya aah haleluya, neema ya Mungu imetuokoa
Haleluya aah haleluya, tumemshinda shetani

Tunashukuru ujio wake Yesu
Twafurahia ukombozi ooh wetu
Tunashukuru ujio wake Yesu
Twafurahia ukombozi ooh wetu
Singekuwa Yesu tusinge hesabiwa haki mbele zake

Pasipo nguvu ya ukombozi tungepotelea shimoni mwa Dhambi, zetu (Mwa dhambi)
Pasipo nguvu ya ukombozi tungepotelea shimoni mwa dhambi, zetu (Mwa dhambi)
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu

Si kwa nguvu bali ni neema kukombolewa twafurahi

Ni yeye anajua kuhesabu siku zetu huyasikia maombi yetu

Written by: Neema Gospel Choir