Lyrics

Ajabu imo ndani yako, matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi, ukitenda umetenda Bwana

Matendo yako yanatisha kama nini
Matendo yakoo yanaa tetemeesha

Bwana we si hadithi (Uuh), wewe si simulizi (Uuh)
Bwana wewe ni kweli (Uuh), uhai u milele wako (Uuh)aa
We si stori za kale (Uuh), za mababu wa zamani (Uuh)
Bwana wewe ni kwelii uhai (Uuh), u milele wako(Uuh)
Bwana we si hadithi (Uuh), wewe si simulizi (Uuh)
Bwana wewe ni kweli (Uuh), uhai u milele wako (Uuh)
We si stori za kale (Uuh), za mababu wa zamani (Uuh)
Bwana wewe ni kwelii uhai (Uuh), u milele wako (Uuh)
Bwana wewe ndiwe Mungu, huitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza kuwa wewe ni kweli

Matendo yako yanajieleza kuwa wewe
Ni kwelii (Ni kwelii), kwamba nguvu zako (Ni kwelii)
Bwana matendo yako (Ni kwelii), eiiyee (Ni kwelii)
Neema yako (Ni kwelii), nguvu zako Bwana (Ni kwelii)
Mkono wako Bwana (Ni kwelii), eeh Bwana (Ni kwelii), nikae (Ni kwelii, ni kwelii)
Bwana nguvu zako (Ni kwelii), Bwana mono wako (Ni kwelii)
Ufalme wako (Ni kwelii), Bwana (Ni kwelii)
Bwana (Ni kwelii), oo (Ni kwelii)
Bwana wewe ndiwe Mungu, huitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza kuwa wewe Bwana ni kweli
Bwana wewe ndiwe Mungu, huitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza kuwa wewe ni kweli
Sema ni kweli, sema (Ni kwelii), ushindi wako Bwana (Ni kwelii)
Uponyaji wako Yesu (Ni kwelii), haufananishwi na yeyote (Ni kwelii)
Nguvu zako (Ni kwelii), Bwana neema yako (Ni kwelii) oouoo (Ni kwelii)
Nguvu zako (Ni kwelii), ushindi wako (Ni kwelii)
Uweza wako (Ni kwelii), oouoo (Ni kwelii)
Written by: PAUL CLEMENT
instagramSharePathic_arrow_out