Music Video

WAHU - NIFANANE NAWE (official 4K music video) ~ SKIZA:8568703 to 811
Watch WAHU - NIFANANE NAWE (official 4K music video) ~ SKIZA:8568703 to 811 on YouTube

Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Wahu
Wahu
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Wahu
Wahu
Songwriter:in

Lyrics

Sishangai ulimwengu kupa sifa Jehovah eeh
Muumba wa vyote kwetu
Una manufaa zaidi Baba aah
Unawaponya wagonjwa na wenye vifafa
Vipofu na vilema
Hata niwe na shida zenye utatata
Miujiza unatenda
Wacha nikuiite Yahweh
Mfalme wa wafalme
Hakuna kama wewe uhimidiwe Bwana
Oh moyo Yahweh ninataka nifanane nawe
Wema wako Ninataka nifanane nawe
Oh Yahweh Ninataka nifanane nawe
Wengine wanashindwa vumilia kwako
Wanaenda kuchawiya kipato
Hawajui fahari ni wewe utajiri wako wa milele
Mbinguni na duniani oh Baba
Unawaponya wagonjwa na wenye vifafa
Vipofu na vilema
Hata niwe na shida zenye utatata
Miujiza unatenda
Wacha nikuiite Yahweh
Mfalme wa wafalme
Hakuna kama wewe uhimidiwe Bwana
Oh moyo Yahweh Ninataka nifanane nawe
Wema wako Ninataka nifanane nawe
Oh Yahweh Ninataka nifanane nawe
I want to be just like You Ninataka nifanane nawe
To be like you ninataka nifanane
Oh Yahweh ninataka nifanane
Written by: Wahu Mathenge
instagramSharePathic_arrow_out