Lyrics

Kilimo shamba mazao bora kupata
Iwe kwa binadam hata na ndege wanyama
Aridhi salama kuna faida kemkem
Miti usikate visiki uhai uvipe
Weka matuta eneo uzio husika
Maporomoko ya maji pindi yanaposhuka
Uoto wa asili kwa wingi utajiotea
Nzuri ki rutba mvua kwa mpigo kushuka
Mazao kwame idadi haito toweka
Iwe kupanda miti ishirini iache kufyekwa
Kupanda kwenye ukubwa wa kila heka
Hali ya ujenzi kilimo cha kisasa
Vivuli tunavikosa, mananga kuongezeka
Vyanzo vya maji kukauka
Kijanisha
Weka dunia ing'ale poa
Kijanisha
Linda misitu wacha kuing'oa
Kijanisha
Weka dunia to make it grow up
Kijanisha
Linda misitu to shine pure
Kijanisha
Weka dunia ing'ale poa
Kijanisha
Linda misitu wacha kuing'oa
Kijanisha
Weka dunia to make it grow up
Kijanisha
Linda misitu to shine pure
Hasara hufuata mabadiliko ya mfumo wa anga
Mbaya kwa binadamu hata na ndege wanyama
Kimfumo wa afya mangojwa tapatapa
Kiuchumi hutesa taifa litapotea
Tuwe na fikra mfumo mzuri husika
Miti na ardhi maisha yetu safi
Uwe mkulima mkapa mkaa dereva wa trecta
Mfugaji malisho ya ng'ombe usifanye uzembe
Kukata miti pasipo kupanda husabisha majanga
Mvua hukoma kunyesha joto la jua hutanda
Kijanisha
Weka dunia ing'ale poa
Kijanisha
Linda misitu wacha kuing'oa
Kijanisha
Weka dunia to make it grow up
Kijanisha
Linda misitu to shine pure
Kukata miti pasipo kupanda
Vyanzo vya maji hukauka na mabwawa yote
Hunyauka
Ufahari wa ujenzi wa kilimo chakisasa, vivuri
Tunavikosa
Mjanga yanaongezeka, kijanisha!
Written by: Anna Kattoa, Msafiri Zawose, Nic Legacy
instagramSharePathic_arrow_out