Top Songs By Beka Flavour
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Beka Flavour
Künstler:in
Bakari Abdu
Leadgesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Bakari Katuti
Songwriter:in
Bakari Abdu
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Maximizer
Produzent:in
Lyrics
Nifanye nikuone kioo kwako nijatazame eh
Nifunike kwa upendo kwingine nisione he
Nifanye nijione me stronger kwako ni simame eh
Nipepee kwa upendo pressure inishuke eh.
Niweke kwenye sayari nzuri ya mapendo
Niishi nikifurahi me na wewe
Nionyeshe mapendo tena kwa vitendo
Maneno yasituharibie
Niweke kwenye sayari nzuri ya mapendo
Niishi nikifurahi me na wewe
Nionyeshe mapendo tena kwa vitendo
Maneno yasituharibie
Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eeh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Penzi letu "Libebe"
Usilichuje kwa chujio "libebe"
Wouwowowowoo "libebe"
Usilishushe uninio "libebe", eh
Penzi letu "Libebe"
Usilichuje kwa chujio "libebe"
Wouwowowowoo "libebe"
Usilishushe uninio "libebe", eh
Chakula hakipiti kinywani ukiwaga mbali na nyumbani
Cheki moyo unavyokuita mamy
Apite mbali ibilisi shetani
Unakila sababu ya kuuteka moyo wangu (wangu)
Haya simami yana dunda mapigo ya moyo
Baki kwangu
Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Penzi letu "Libebe"
Usilichuje kwa chujio "libebe"
Wouwowowowoo "libebe"
Usilishushe uninio "libebe", eh
Penzi letu "Libebe"
Usilichuje kwa chujio "libebe"
Wouwowowowoo "libebe"
Usilishushe uninio "libebe", eh
Wangu sinyorita baki na mimi usije ukatoroka
Wenye magari wakaja wakakuteka Ukaniacha mimi nahangaika
Hey! Leo wangu sinyorita baki mimi usije ukatoroka
Wenye magari wakaja wakakuteka
Ukaniacha mimi nahangaika
Heyyeiyeeh
Libebe
Uhu! Babyy
Libebe
Uhu! Babyy
Libebe
Uhu! (Baby)
(Libebe)
Writer(s): Bakari Katuti
Lyrics powered by www.musixmatch.com