Lyrics

Oh, waite..., eh Kumekucha jama Kishafanya yake munyama Oh-ooh! Kumekucha jama Kishafanya ya- Agaah! Waambie Simba (Simba kiboko yao) Waambie wekundu wa Msimbazi (Simba kiboko yao) Oooh! Taifa kubwa (Simba kiboko yao) Oooh! This is Simba (Simba kiboko yao) 'Bona Manara anacheza? (Anashangilia ushindi umekuja!) Mo anarukaruka? (Anashangilia ushindi umekuja!) Yule dada anakata? (Anashangilia ushindi umekuja!) Agaah! Wahuni wanarukaruka? (Wanashangilia ushindi umekuja!) Na tutamfunga yoyote ata'e kaa mbele Si wanawashwa tutawakuna upele Chenga na pasi ndo zetu kama mbele Oh, magoli mashuti kama pele Wataweza wapi jamaa (wakwende zao!) Kushindana na munyama? (Wakwende zao!) Ooh! Wataweza wapi jamaa Kushindana na Musimbazi? Agaah! Nasema Simba (Simba kiboko yao) Waambie wekundu wa Msimbazi (Simba kiboko yao) Haina mpinzani (Simba kiboko yao) Ooh! Mabingwa wa nchi (Simba kiboko yao) Ah, wanachama wanacheza (Wanashangilia ushindi umekuja!) Mashabiki wanarukaruka (Wanashangilia ushindi umekuja!) Ooh! Nguvu moja (Anashangilia ushindi umekuja!) Hadi wale wanarukaruka (Wanashangilia ushindi umekuja!) Oyaa mnyama anakula (ahm!) Mnyama anang'ata (ahm!) Mnyama anakula (ahm!) Mnyama anang'ata (ahm!) Anawatafuna (ahm!) Anawameza (ahm!) Anawatafuna (ahm!) Anawameza (ahm!) Eeh, kidedea Eeh, kidedea Eeh, kidedea Eeh, kidedea Naipenda Simba mshabiki wa damu Naipenda Simba mshabiki wa damu Mi' mwenzenu mshabiki wa damu Naipenda Simba mshabiki wa damu Nani baba wanangu, nani baba? (Simba) Nani baba wanangu, nani baba? (Simba) Nani bingwa wa nchi, nani bingwa? (Simba) Nani bingwa wa nchi, nani bingwa? (Simba) Kama unaipenda Simba puliza vuvuzela We' kama unaipenda Simba peperusha bendera Ah, kama unaipenda Simba puliza vuvuzela basi Kama unaipenda simba peperusha - Asa twende, peperusha bendera, wanangu bendera Niione bendera, nionyeshe bendera Nyekundu bendera, nyeupe bendera Ya Simba bendera, umo-umo! Oh, waite..., eh Eeh! Waambie hii ndo' timu yenye mashabiki wengi East Africa Na yenye makombe mengi East Africa and Central Iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano makubwa Afrika kuliko club yoyote Na tutamfunga yoyote Hah! Watoto wa Msimbazi Bado sijasikia miluzi, sijasikia milio Wanangu miluzi (mama), nisikie milio (weka) Wa kule miluzi (twende baba), wa huku milio (umo-umo) Nisikie miluzi (wewe), wanangu milio Eeh, kidedea Eeh, kidedea
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out