Lyrics
Mmh mmh mmmh ooh oooh
Sitaki mizozo
Mmh mmh mmmh
Instrunmental
Eti nikuvumilie (nivumilie)
Kushea na bwana yule
Hata dhamiri yako wee(yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie (nivumilie)
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe eh eeh
Labda sijui mapenzi, ndo sababu ukakimbia
Au alikuwepo kitambo, hukutaka kuniambia
Na kiherehere cha kupost vipicha wenzangu wananichora
Ndo kusema hujui, nilikuamini umeninyima amani eeh eeeh
Basi nikueleze huko kulalama unaniumiza moyo
Ningekuwa na choyo nisingethamini upendo
Umejawa na lawama aaah
Ila ungenionea huruma aaah
Wajua hali yetu mpenzi,
Nisingeweza vumilia shida, na kupretend
Inaniumiza nakuweka wazi
Nambie nimuache aende na magari nirudishe
Wazazi uwaambie kwenye nyuma watoke, usimame kama mume
Basi nambie nimuache aende na magari nirudishe
Wazazi uwaambie kwenye nyuma watoke, usimame kama mume eeh
Eti nikuvumilie (nivumilie)
Kushea na bwana yule
Hata dhamiri yako wee(yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie (nivumilie)
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe eh
Eti nikuvumilie (nivumilie)
Kushea na bwana yule
Hata dhamiri yako wee(yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie (nivumilie)
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee eeieh
Umefungwa kwako wewe eh eeh
Amini na maneno nayokwambia utaja nizingua
Mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanakimbia
Kwanini nikwangalie mpenzi wee ukitoka na mwingine
Unipe pesa za yule nitumie utanipenda kwa lipi eeh eeeh
Habari ya mapenzi niulize mimi
We uko moyoni kelele za nini
Ninakuheahimu niamini, vumilie kidogo nimchune chune
Baby ndo uanaume gani kusifiwa mapenzi iii
Kupeleka vijizawadi vyangu naona aibu (usijali baby)
Hadhi yangu ni vibajaji, mwenzangu uzungu
Ntakuweza wapi, samaki machozi baharini
Hata nikifanya huoni, ni maumivu moyoni
Ntakuweza wapi, samaki machozi baharini
Hata nikifanya huoni, ni maumivu moyoni
Eti nikuvumilie masimango ya nini
Akijua mi mwenzie nitauwa yamkini
E-eti nikuvumilie (nivumilie)
Kushea na bwana yule
Hata dhamiri yako wee(yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie (nivumilie)
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe eh eeh
Sitaki mizozo (mmmh)
Nasema sitaki mizozo (mmmh)
Sitaki mizozo (mmmh)
Nasema sitaki mizozo (eeeh)
Sitaki mizozo (naaaah)
Nasema sitaki mizozo (uuuuh)
Sitaki mizozo (eeeh)
Nasema sitaki mizozo (eh eeh)
Lyrics powered by www.musixmatch.com