Top Songs By Boondocks Gang
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Boondocks Gang
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Tony Kinyanjui
Songwriter:in
Francis Macharia
Songwriter:in
Edward Kimachu Irungu
Songwriter:in
Lyrics
Nyama nyama nyama (nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini nikihama
Mmmh ikus itanyamba
Cheki mbus vile nathombotha haga ishikane na ikus
Pedi wangu zenye si huchoma si mabush
Mageus wote wamejaza mimba watapush
Ah akina joh frida wanapenda mjulus
Ken wako njiti washasip kanuthu
Nikabeng tu vifiti hadi kapige nduru
Sheng iko ligi piga soma na mguu
Kula mbuku amejazwa tu na kutu
Kuna jaba utachana tu na njugu
Cheki anamaka anacheza tu na athuku
Vile kanapenda kucheza na mbulu
Kanakula tu vifiti kwa mambuku
Nyama nyama nyama (nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini nikihama
Mmmh ikus itanyamba
Odi wa murang'a mi nadai tu kishot
Ikus iko hot but shida ye ni thot
Alidai raw nikaifinyia kwa throat
Na nimwage more njoti tam kama ndom
Sina doh but mi hufika bei ya poko
Ngoma noma refu Sana ka kegosho
Moshi ya shada mi huwasha na kwa orosho
Nishamada beat ya mavo bila ngoso
Pause! ngeus wako anadai sijui izo rose
Juu nilichimba kitu ikatoa moshi
Nikazima na kanuthu na jaba ya irosh
Dem ako jaba na anadai sijui kolo
Nyama nyama nyama (nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini nikihama
Mmmh ikus itanyamba
Haraka haraka hainaga baraa
Ka ni vajo nianze kumdaa
Ju ya kitools mi naseti mavifaa
Niko makonyagi mi nitachase na cider
Juu ni bongolala naeza anza na simba
Ka ni umbwa koko naeza anza na siba
Mmmh gari ya moshi
Inanukaa shada
Msupaa nitakuriada
Ukichora saba mmmh
Maringo hapo msupaa atamingle aah
Nichimbe adi nitoe kifigo aah
Nyama nyama nyama (nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini nikihama
Mmmh ikus itanyamba ❌2
Written by: Edward Kimachu Irungu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui