Lyrics

rafiki yoo yoo yoo kwaheri uende ufike salama safari yako kwenda samburu kuona ndugu jamaa na marafiki ooo utapofika maralali nisalimie dokta maina mwezi decemba nataraji niombe livu niifike niwaone eee safari yetu les wanyika tulipofika maralali tulifurahi kuwapata rafiki wema na wenye nia njema...×2 asante sana dokta maina tena asante ndugu omolo
Writer(s): John Ngereza, Issa Juma, Omar Shabani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out