Top Songs By Martha Mwaipaja
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Martha Mwaipaja
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Martha Mwaipaja
Songwriter:in
Lyrics
adui wa mtu ni mtu mwenyewe
moyo wa kisasi na malipo
uinukapo damu humwaga
nayo ardhi hula sehemu yake
ni mwanadamu auaye mwanadamu
mwenzake ni uadui kati ya watu
chuki ipandwayo kati ya watu
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com