Music Video

Angel Benard - Utukumbuke (Official Video) SMS SKIZA 8563533 TO 811 TO GET THIS SONG
Watch Angel Benard - Utukumbuke (Official Video) SMS SKIZA 8563533 TO 811 TO GET THIS SONG on YouTube

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Angel Benard
Angel Benard
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Angel Benard
Angel Benard
Songwriter:in

Lyrics

Eeh Bwana yesu nataka niseme nawewe, mmh Uuh uuh Usife moyo baba, Usife moyo mama Nakuona mama unatazama watoto waumia moyoni Nakuona baba unashinda umelewa haueshimiwi nyumbani Nakuona kijana umetafuta umechoka rudia tena na leo Mwokozi ona Yale wanayo pitia, Baba onaaa uwakumbukee . Uwakumbuke wagojwa wale Uwakumbuke yatima Baba Uwakumbuke baba Wanandoa wale, utukumbuke Kina mama wale, utukumbuke Kina baba wake, utukumbuke babaa Oooooh uwakumbuke Mkono wako si mfupi usiokoe, Na sikio lako sio zito lisisikie, Bwana mkono wako si mfupi usiokoe, Na sikio lako sio zito lisisikie, Wewe mwanzo tena mwisho Kwako hakuna logumu Tujapokua dhaifu Bwana wewe ndio nguvu zetu uwakumbukeeeeh Uwakumbuke kanisa lako, Uwakumbuke taifa letu, Uwakumbuke babaa, Baba tunakutazama, utukumbuke Ona watoto wale, utukumbuke Barabarani Baba, utukumbuke babaa Ona aah aaaah eeh Bwana Yesu wewe ndiwe majibu ya Kila mwenye maswali moyoni, Unaweza Yesu eeeh eh Uuuuuuh uuuh uuuh uuuh Uwakumbuke, wakumbuke watoto wale, Ona baba wajane wale, uwakumbuke babaa, Wewe ndiwe mume wao Baba, Utukumbuke, utukumbuke babaa, Taifa letu na nchi yetu, serikali na viongozi, utukumbuke eeh Baba! Uwakumbuke, Baba ah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out