Top Songs By Ulyankulu Choir
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Ulyankulu Choir
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Ulyankulu Choir
Songwriter:in
Lyrics
UTUKUZWE BY NYEGEZI SDA CHOIR.
Utukuzwe (ee) Mungu bwana wa bwana,
Hatuwezi kulalamika kuhusu ukombozi wetu,
Lingekuwa jambo dogo (ila) mwanadamu analoliweza,
Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2
Wengi wanauzungumzia umuhimu wa kuja kwake Yesu,
Aliacha kiti cha enzi aje kunitafuta.
Sikuwa na matumaini ulikuwa kama muujiza, ahsante Yesu, kunikomboa.
(Naa)
Utukuzwe (ee) Mungu bwana wa bwana,
Hatuwezi kulalamika kuhusu ukombozi wetu,
Lingekuwa jambo dogo (ila) mwanadamu analoliweza,
Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2
Alipofika hapa duniani, akaanza kuyatenda makuu,
Ila wakazi wa duniani hawakumtambua.
Wengi wakamchukia sana,
amekuja kwa maamlaka gani, kumbe ni mwana wa Mungu, mwokozi wetu.
(Naa)
Utukuzwe (ee) Mungu bwana wa bwana,
Hatuwezi kulalamika kuhusu ukombozi wetu,
Lingekuwa jambo dogo (ila) mwanadamu analoliweza,
Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2
Nini kinachokukatisha tamaa,
ikiwepo jina la Yesu, lenye uwezo mkubwa wa kukushindia.
Yeye ni Alpha na Omega, asiyetingizwa na chochote,
Mwamini Yesu, atakushindia.
(Naa)
Utukuzwe (Mungu) Mungu bwana wa bwana,
(Hatuwezi kamwe)
Hatuwezi kulalamika(kuhusu ukombozi) kuhusu ukombozi wetu,
(Lingekuwa)Lingekuwa jambo dogo (lina
maana) mwanadamu analoliweza, (ahaha)
Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2
(Lingekuwa) Lingekuwa jambo dogo.
(Mwanadamu) Mwanadamu analoliweza.
(Singekuja) Usingekuja Yesu kutukomboa.×2
(Lingekuwa) Lingekuwa jambo dogo.
(Mwanadamu) Mwanadamu analoliweza.
(Usingekuja Yesu) Usingekuja Yesu kutukomboa.
Ahaha.
Lyrics powered by www.musixmatch.com