Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Otile Brown
Otile Brown
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter:in

Lyrics

Mungu sio Athumani, leo sio ka jana Alhamdululah wacha nile bata Nimetoka mbali tena peace and love Kwa wanaonijaji hanipikosa Mambo kibosi bosi, laki haitonikosti Mzigo umetua port, eh acha nisherehekee Nisherehekee, nikinywe hadi nilewe Nizime tinga hadi nibebwe, eh eh Hakika Mungu wetu sote (sote, sote) Tena anatupenda sote (sote, sote) Hakika Mungu wetu sote (sote, sote) Tena anatupenda sote (sote, sote) Leo mimi kesho wewe eh Najana kaninyima kakupa wewe Leo mimi kesho wewe eh Najana kaninyima kakupa wewe Ona we, leo mimi kesho wewe See I'm about good life, good life I'm about good life Nilishakula msoto sana mimi eh Nishachekwa sana mimi eh eh See I'm about good life, good life I'm about good life Nilishakula msoto sana mimi, you know Nishachekwa sana mimi eh eh Haitonikosti, mambo kibosi bosi, laki haitonikosti Mzigo umetua port, eh acha nisherehekee Nisherehekee, nikinywe hadi nilewe Nizime tinga hadi nibebwe, eh eh Hakika Mungu wetu sote (sote, sote) Tena anatupenda sote, you know (sote, sote) Hakika Mungu wetu sote (sote, sote) Tena anatupenda sote (sote, sote) Leo mimi kesho wewe eh Najana kaninyima kakupa wewe Leo mimi kesho wewe eh Najana kaninyima kakupa wewe ehh mhh Leo mimi kesho wewe eh Mama Shivo eh Tell upon this, this, this...
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out