Lyrics

Zaidi ya yotee, utabaki kuwa Mungu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwee
Zaidi ya yotee, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwee
Zaidi ya yotee, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwe
Nikitazama nyuma na mbele naona ukuu wako, kaskazini, kusini pia, naona ukuu wako
Magharibi nako mashariki pia eeh, naona ukuu wako
Zaidi ya yote, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwe
Hakuna mkamilifu katika wanadamu eeh, zaidi ya ewe Mungu wangu, Mungu wangu
Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri kuwa wewe ni Mungu pekee, pekee, Yahweh
Zaidi ya yotee, (Yahweh) utabaki kuwa Mungu mkuu, (Yahweh), Alfa na Omega, hubadiliki kamwee
Zaidi ya yotee, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwee
Umenipigania vita vikalii, ambavyo mimi singeweza pekee yangu
Maadui waliniandamaa, lakini ukawatawanya kwa njia saba
Usifiwe, uabudiwe
Zaidi ya yotee, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwee
Zaidi ya yotee, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omegaa, hubadiliki kamwe
Anabaki kuwa (Mungu tuu), anabaki kuwa (Mungu tuu), na kwa wakamba (Mungu tuu), na kwa waluhya (Mungu tuu)
Nao wakikuyu (Mungu tuu), nao waturukana (Mungu tuu), hata wakisii (Mungu tuu), hata waluo (Mungu tuu)
Na kwa wamaasai (Mungu tuu), na kwa wakalenjin (Mungu tuu)
Kwa mijikenda (Mungu tuu), anabaki kuwa (Mungu tuu)
Na kwa wazungu (Mungu tuu), Afrika yote (Mungu tuu)
Dunia yote (Utabaki kuwa Mungu mkuu)
Atabaki kuwa Mungu (Utabaki kuwa Mungu mkuu)
Zaidi ya yote, utabaki kuwa Mungu mkuu, Alfa na Omega, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kuwa Mungu mkuu
Written by: Evelyn Wanjiru
instagramSharePathic_arrow_out