Top Songs By Mirror
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Mirror
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Mirror
Songwriter:in
Lyrics
Kama mapenzi wanasema niwawili mama
Maneneno yasije fanya tukaachana
Naomba niamini nakupenda sana ooohh ee ooo
Aree we sema unapokwenda mi nitakwenda mama
Kama ukiwa mbele me nipo nyuma mama
Tuende wapi jua baba na mama ooohh wee oo
Mapenzi si kama zamani kuniliwaza tu chumbani aah ah
Kesho maneno mtaanii yiiyii yiiiyii eh eh
Mapenzi ni wew na mie si unanipenda Darling
Tufunge na ndoa za maisha honey honey ee
Namuomba mollah akutunze kama neno zuri la imani
Yaarabi mollah akulinde mama, mamawe nakuthamin
Naomba mola akutunze maana we ni wangu wa thaman
Yaarab mollah akulinde mama maana
Yo ma number one wee my one and only nakupenda baeby yo my number one my one and only ee nakupenda baeby
ukweli me nakupenda wew nakutaka wew nakupenda baeeby2
Asamualeykum mama we me nataka nkuoe nkikupata i get pay pay 2
Kwenye mapenz kama we hajatokeaga joh bila we nivip me ntalalaga naomba niamin nayosema mama ooh weooo
I say without you girl i go cry cry cry you go make me die die die yo love nt a lie lie lie yo go make me touch the sky sky sky make me so fly fly fly yo love not a lie lie lie
Namuomba mollah akutunze maana we ni wangu wa thaman yaarab mollah akutunze maan
yo my number one my one and only nakupenda baeeby2
Ukweli me nakupenda wew nakutaka wew nakupenda baeeby2
Lyrics powered by www.musixmatch.com