Lyrics

Oya eh (check it out) (it's a Fish Crab) oya eh (Chege), Mwanayumba
Oya eh (it's a Fish Crab presentation), oya eh (oya eh) oya (Mwanayumba)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)

Ujumbe wangu ni mfupi tu
Nawaombeni ndugu na jamaa
Popote pale mlipo
Msikiapo Chege naimba wimbo huu
Nahangaika kumtafuta, kipenzi changu Mwanayumba
Popote pale mtapomuona mwambieni bado nampenda
Sijui kama yuko Kenya, sijui labda yuko Dar Es Salaam
Sijui kama yuko Kigoma, mwambieni bado nampenda
Najua bado ananipenda, na mimi bado nampenda
Sijui nani kamchanganya Mwanayumba hayupo tena nami
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mwanayumba kwani uko wapi nikufate, mrembo?
Kama uko kwa mama yako mdogo nikufate Mabibo
Mwanayumba kamwe bila wewe sitoweza mpenzi
Nimefunzwa kupenda nisiache tuwe enzi na enzi
Sasa wapi ulipokwenda mpenzi? Umeniacha na majonzi
Sikuoni tena mbele usoni nakuota kwenye njozi
Usiku navuta shuka napapasa sikupati
Ah, ah, ah, ah, ah-h-h ah, ah
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona, mkimuona, mkimuona mleteni
Mkimuona, mkimuona, mkimuona mleteni
Mkimuona yule pale, mkimuona mleteni
Mkimuona yule pale, mkimuona mleteni
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
Oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) Mwanayumba
Oya eh (oya eh) (check it out) oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) Mwanayumba
Written by: Chege
instagramSharePathic_arrow_out