Lyrics

Kwanza ukimtazama, anaenda na mambo uliyoyaskia moja mzuri sana Na pili yeye anavutia kiumbo, yeye anavutia Kisura inshallah mola kamjalia ana mwendo waki miss Mi napenda anavyotembea Hata kama waki miss mimi bado namfukuzia Daily, kazi yenu nyinyi kumpakazia Daily Sijui lini nyinyi mtampotezea Daily Kazi yenu nyinyi kumpakazia Daily Sijui lini nyinyi mtampotezea Kakudanganya wa oysterbay wakati anakaa manzese Halafu we mwenyewe una furaha Usimwamini, kumpa moyo ye usije kulia Usimwamini, kumpa moyo we, utaja niambia Yuko juu kwa njia za panya Ni mengi aliyoyafanya out we angalia Yuko juu kwa njia za panya Ni mengi aliyoyafanya aii we angalia ye Ni bingwa wa viduku, kwenye vikodoro, i say (hana maana huyu demu) Ye ni bingwa wa viduku, kwenye vikodoro, i say (hana maana huyu demu) Huyo (nasema huyo sio demu) Huyo (nasema huyo sio demu) Huyo (nasema huyo sio demu) Huyo (nasema huyo sio demu) Ah, ah (nasema huyo sio demu) Uh, uh (nasema huyo sio demu) Ah, ah (nasema huyo sio demu) Uh, uh (nasema huyo sio demu) I know, siwezi laumu moyo Kumpenda yule alisema mtoto mdogo na bado ye kwa shule Jamani mi, nampenda mpenda yeye Jamani mi namtaka taka yeye Jamani mi nampenda mpenda yeye Jamani mi, namtaka taka yeye Ingawa walisema (bingwa viduku) Nawengine wakanena (bingwa vikodoro) Ingawa walisema (bingwa wa viduku) Nawengine wakanena (bingwa wa vikodoro) Si lengo langu kukupiku no Nasema kweli huyu demu so Ujipe moyo utakoshwa roho yule So demu wa kusizi nae mahome no Nina kupenda sana mchizi wangu, ndio maana nakuambia Usije ona hii dunia ni chungu moyoni utaumia Ninakupenda sana mchizi wangu ndio maana nakuambia Usije iona hii dunia ni chungu moyoni utaumia Huyo (nasema huyo sio demu) Huyo (nasema huyo sio demu) Huyo (nasema huyo sio demu) Huyo (nasema huyo sio demu) Ah, ah (nasema huyo sio demu) Uh, uh (nasema huyo sio demu) Ah, ah (nasema huyo sio demu) Uh, uh (nasema huyo sio demu) Huyo, huyo, huyo, huyo Huyo sio demu mi mweye najua Ajuwi kutaa wana sema kwa miya Mapenzi ya kweli anachojali ye shillingi Kudada adeki mapenzi hayashughuliki Kama kweli unampenda we mpende tu maradufu, ila Huku kitaa wanamgonga hata kwa buku Huyo sio demu (huyo, huyo), demu wa kitaaa huyo Huyo sio demu (huyo huyo), demu wa masela Ah, ah (nasema huyo sio demu) Uh, uh (nasema huyo sio demu) Ah, ah (nasema huyo sio demu) Uh, uh (nasema huyo sio demu) (Huyo, huyo) tafuta mwingine Ila kama unampenda komaaa nae Ila nita kubembeleza sio kukuambia ku give up So tell them bro, Love is a beautiful thing, but sometimes love is crazy man Huyo, huyo, huyo, huyo Huyo, huyo, huyo, huyo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out