Vergelijkbare songs
Credits
AUSFĆHRENDE KĆNSTLER:INNEN
Lilmaina
Künstler:in
danski
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Jeremy Maina
Songwriter:in
Dan Mutinda Matheka
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Afamefuna
Produzent:in
Supadrum
Produzent:in
Songteksten
[PreChorus]
Na niko ndani ya bukla nikimedi na mashasha
Jaribu ujinga ni mabare utapata
Viatu tumepiga ni maclarks za kwa Bata
Warembo wote wananukia cocoa butter
[Chorus]
Basi rusha mikono ka unaona uko tipsy
Rusha mikono kama maisha iko fiti
Rusha mikono kuja basi twende hivi
Sijalala siku tano naona kama nitachizi
[Verse 1]
Ata nikikosa leo nitakupata
Kama kuna ngori itakua disaster
Siku mingi jo baby nimekudata
Wacha kusita sita baby kam hapa
[Refrain]
Kama unanifeel (Feel)
Wachana na mi (Mi)
I'm honestly just a humble rapper
Ye hukuwa anatii, maina ni nabii
Niliwashow hii ngoma itawangwata
[PreChorus]
Na niko ndani ya bukla nikimedi na mashasha
Jaribu ujinga ni mabare utapata
Viatu tumepiga ni maclarks za kwa Bata
Warembo wote wananukia cocoa butter
[Chorus]
Basi rusha mikono ka unaona uko tipsy
Rusha mikono kama maisha iko fiti
Rusha mikono kuja basi twende hivi
Sijalala siku tano naona kama nitachizi
[Verse 2]
Excuse me I mean empress samahami
We ni Safaricom juu ya venye haupatikani
Na macho yako nzuri unafanya natamani
Rafiki zangu wanashindwa rada gani
[Verse 3]
Nipate currency zingine Villa Rosa
Na kila napo-enda utafuatwa na masoja
Kichwa inauma basi meza Sona Moja
Na venye unanitesa akili bado nitangoja
[Verse 4]
Nimefunga dready manze hunitaki
Na kama ni makosa basi we utanishtaki
Ningetaka twende Shanzu au Diani
Na unataka lightskin kwani mi ni Mlami?
[PreChorus]
Na niko ndani ya bukla nikimedi na mashasha
Jaribu ujinga ni mabare utapata
Viatu tumepiga ni maclarks za kwa Bata
Warembo wote wananukia cocoa butter
[Chorus]
Basi rusha mikono ka unaona uko tipsy
Rusha mikono kama maisha iko fiti
Rusha mikono kuja basi twende hivi
Sijalala siku tano naona kama nitachizi
Written by: Dan Mutinda Matheka, Jeremy Maina