Paroles

Uuh-uuh, yeah, kutoka alooh Mmh (it's Kaniba) Nilikutana naye Kilimani, Nairobi Elfu mbili na kumi na tano Kibaridi cha asubuhi, kijua flani sio kikali saa tano Ooh, Nairobi, elfu mbili na kumi na tano, oh Nikamchagua yeye katikati ya wenzake watano Ah, nikamuomba akaniomba namba Moyoni mwangu nikampa moja She's my number, ah, number, ah moja Nikamuomba akaniomba namba Moyoni mwangu nikampa moja Now she's my number, ah, number, ah, moja Yani namaanisha kwamba Ndio tushaoana Tushaoana Ndio tushaoana Ndio tushaoana (Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah) (Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah) Tulipatana Bongo, Mikocheni Niko zangu beach nala upepo wa bahari Alinipita kama meli Anayumbayumba akidondosa kishenzi Ooh, Mikocheni nikamfata utadhani zombie Habari gani mbona uko lonely Jina ni gani akasema Zari Nikamwambia aje (aje) Nikamwambia kwangu ni kwake Nimshike wapi ndio aje Nataka moyo wangu uwe wake Watangoja sana Wakidhania tutaachana Mi' na yeye tumeshaivana Naichapa usiku na mchana Aiyaiyayah, aah Yani namaanisha kwamba Ndio tushaoana (Tushaoana na yeye sa' ni mi' tu na yeye) Tushaoana (Tushaoana na yeye, eh, sa ni mi tu na yeye) Ndio tushaoana Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah Ndio tushaoana Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah-ah Oh, yeah, tushaoana Ooh, alooh!
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out