Letras

[Intro]
Go, go, go, go, go, go, go
Unahitaji yes purity big positivity
Life watamiliki
[Verse 1]
Kwenye riziki, lazima kuna vizingiti
Unafki, uchawi, alafu negativity
Go, go, go, go, go, go, go, go
You gotta go but you never know, Bibilia insema you reap what you sow
Huku streets knock on them doors
Kamata wazima, wazima chunda mpaka ngozi
[Verse 2]
Jambishia pistol, kujibu na mashini gun
Dem wako atatoa mlio haijawai kutumia chumbani
Ngoja nikwachie hii, kaa mna kichwani
Kwenye fan naezakuwa jirani ila sio mpinzani
[Verse 3]
Kaa juu, ka juu ubebeshwe mzigo
Au kaa chini, kaa chini uwe uzigo
Si unacheki hayo mapigo
Makasi ya kisigino ni spigo
Tukae nyuma ata mashaki na makambi hainutu
Upendo ukismama, wengi wenu mnaanguka kwenye kusmama
Tipo kwenye uwanja wa vita unaita (Mamaya)
[Verse 4]
Gangire unga chafu mmoja (Wewe)
Hatuishi kiuogauoga
Shortcut ya mvivi ni kurogaroga
Hatuwezikufa siku moja moja (Wewe)
[Chorus]
Go, go, go, go, go
Aah, eeh
Go, go, go, go, go
Aah, eeh
[Verse 5]
Go, go, get money
Usipopambana atakupambania nani
No, no, life's not funny
Matusi yao yanakuwanga kwenye matani
[Verse 6]
Rhumba lukte chuku
Nigawane na wana usisahau kuja na suti
Maana jinsi tunalibana ruhusa kumkimbiza
Ila swezi kusmama kama ugomvi si wa pesa
[Refrain]
Bass siwezikupigana, I feel the blast kama (Bachelor)
Na hii ndio cash kama (Banchela)
Wakiuliza how unapendua meza (Mtupe baa)
Na niko firm ka dadake and go get it go tena
Tunukie fedha
[Refrain]
Chafu tatu, chafu moja
Hatuishingi kiuoguoga
Jeshi lenyewe la mtu mmoja
Watu wa Mungu hatujui kuroga
[PreChorus]
Nimezaliwa kushinda, ni wewe ndo unapambana na mimi
Koti chini macho juu, baba ndio ukatisha tayari
Nimezaliwa kushinda, ni wewe ndo unapambana na mimi
Koti chini macho juu, baba ndio ukatisha tayari
[Chorus]
Go, go, go, go
Aah, eeh
Go, go, go, go
Aah, eeh
Written by: George Sixtus Mdemu
instagramSharePathic_arrow_out