Canciones más populares de T Sigwa
Créditos
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
T Sigwa
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Evarist Thadei Sigwa
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Cat P
Produzent:in
Letras
Usimgeuzie Simba kisogo
Never Never,
Usimsogelee farasi Nyuma yake
Achelewi kuwa mbogo
Panya anakufa kwenye mtego kwa sababu,
Hajui kwanini kile chakula kipo wazi na bure
Maisha yana Kila siku ,na Kila siku ni shule
Ukiacha Salamu Mjini hakuna kitu Cha bure,
Tunaishi zama ambazo watu werevu wananyamazishwa Mjinga asijisikie Vibaya
My be Tuliowazika ndio wangefanya tujiskie tunaishi kama Ulaya
Uongo umekuwa kitu cha kawaida Kiasi Kwamba ukweli umekuwa chanzo cha chuki
Utawezaje kujikuna ingali mkono ni mfupi
Dj weka Buzuki
Kuanguka chini huwa ni ajali, kuendelea kuwa chini ni chaguo
Furaha ya maskini nikuamini mafanikio ni umeme unaporud Huo
Mwanangu Wa kiume ananiuliza Baba Yuko wapi Mama?
Mhmm, mhmm! Mwanangu wa kiume ananiuliza
Baba Yuko wapi Mama...namjibu
Mwanaume anayekaa kimya baada ya kuvunjiwa heshima ni mwanaume hatari sana
Roho nzuri huja unapogundua wote tunapambana na tuna shida
Wote mastering Na Adui yetu Mkuu ni Shida
Wote tutakufa na tofauti Yetu Muda
Tofauti ya makabuli yetu ni kiwango Cha fuba
Juhudi inatengeneza tabia, usikimbie majukumu
Baraka uanzia Kwenye Familia
Yoooh Boy T Sigwa
Dj washa Buzuki
Written by: Evarist Thadei Sigwa