Créditos
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Fari by Dar Kid
Stimme und Gesang
Rayvanny
Künstler:in
Letras
[Verse 1]
Kama itatokea siku utani miss mie
Number yangu ile ile naomba unipigie
Kama umepata muda unitembelee
Si kwa ubaya ila hali tu unijulie
Vita vya ukimya tuliopigana mimi na wewe
Nimekiri nimeshindwa mimi bado ni yule yule
Uliugusa moyo wangu nakuleta tofauti pale
Kwenye kapu langu la hisia nafasi nyingine unipatie
Hakuna wakulijaza pengo lako
Moyo mtima unatamani pendo lako
Nipendwapo napajua
Ndio maana napajali
Maumivu yako nayatambua
Nimechoka kuwa mbali mmh
Na kumiss kumiss honey wewe
Sio rahisi rahisi Kuwa mwenyewe
[Chorus]
Nipigie (Nipigie)
Nipigie (Nipigie)
Nipigie hata kidogo nikusalimie (Ooh ooh-ooh)
[Chorus]
Nipigie (Nipigie)
Nipigie
(Nipigie)
Nipigie japo hali nikujulie
[Verse 2]
Kama ukipata muda sauti yangu uisikie
Msimamo wangu ule ule ukisahau sema nirudie
Kama ukipata wasaha usinizungumzie
Si ulipata mwingine mie niache usinifikirie
Sura yako maridhawa
Umeidhalilisha kwa tabia yako
Niache niache baki pekee yako
Moyo wangu umeukaa umenihuzunisha
Basi fanya yako
Niache niache mwana wa mwenzako
Kwani nilikupenda kwa dhati
Nikahapa sikuachi mtoto ulo smarti
Penzi lisio na bahati limefika tamati sasa na hesabu mabati
Maadui kindaki ndaki uwewapa nafasi sa wananidhihaki
Upendo umekaangwa chapati ushaunguza basi kuwa nawe sitaki
Niache
[Chorus]
Nipigie (Nipigie)
Nipigie (Nipigie)
Nipigie hata kidogo nikusalimie (Ooh ooh-ooh)
[Chorus]
Nipigie (Nipigie)
Nipigie
(Nipigie)
Nipigie japo hali nikujulie