Letras

[Intro]
Baba God made me shine
Nikuimbie zaburi
Jesus made me shine
[Chorus]
Nikuimbie Bwana (Mfalme wa mbinguni)
Niimbe na zaburi (Bwana nitetee) Ehh Baba
Nikuimbie Baba (Mfalme wa mbinguni)
Niimbe na zaburi (Baba nitetee) Wewe Baba
[Verse 1]
Kwenye nguvu za giza, kati-kati nilikatiza
Wakavunja mayai viza, ili kunikomesha
Baba kanifanyia nuru
Sina minyororo niko huru
Walinisiriba Bwana umenitakatisha Baba
[PreChorus]
Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
Nami (Ni VIP Baba) maana nimekutii (Baba)
[Chorus]
Nikuimbie Bwana (Mfalme wa mbinguni)
Milima ya Sayuni (Bwana nitetee) eeh
Nikuimbie Baba (Mfalme wa mbinguni)
Milima ya Sayuni (Bwana nitetee) eh eh eeh
[Bridge]
Aiyelee Jesus, aiyelee Masia, aiyelee Papa langu wewe
Aiyelee Jesus, aiyelee Masia, aiyelee Papa langu wewe
[Verse 2]
Walitabiri mwisho, ukatangaza mwanzo
Walipopanga kifo, nikavuma zaidi ya upepo
Wanauliza siri ni nini (Siri ni nini)
Wanauliza nguvu ni nini (Nguvu ni nini)
Nguvu zangu ni wewe, na siri yangu ni wewe
[PreChorus]
Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
Sababu mimi (Ni VIP Baba) maana nimekutii (Baba)
[Chorus]
Nikuimbie Bwana (Mfalme wa mbinguni)
Niimbe na zaburi (Bwana nitetee) Ehh
Nikuimbie Bwana (Mfalme wa mbinguni)
Niimbe na zaburi (Bwana nitetee) Ehh
[Bridge]
Haijalishi mi ni mwema kuliko wote
Bado unanijazia baraka Baba asante
Haijalishi mi ni bora kuliko wote
Ila wanipa neema na rehema zako, asante
[Chorus]
Ninakuimbia Baba (Mfalme wa mbinguni)
Zaburi (Bwana nitetee) mfalme ni we
Ninakuimbia Baba (Mfalme wa mbinguni)
Nakuimbia zaburi (Bwana nitetee)
Written by:
instagramSharePathic_arrow_out