Letras

Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Uh, walisema demu wangu kwamba wewe kicheche, uh, magari ya kifahari yanakupa mawenge
Uh, kumbuka mapenzi yangu hakuna zaidi ya wewe, uh, maneno mengi hayavunji mfupa
Maneno ni mengi mwenzio siwezi, usingizi sipati
Najuta mapenzi kupenda sitaki tena unanipa wazimu
Maringo ni yako yananipa wakati, wakati uuh
Sasa mimi, nimekubalii we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Uh, unajifanya mjanja, uh, kumbe bonge la mshamba
Uh, unadaka mikwanja, uh, kumbe demu wa viwanjaa
Gheto usije, demu mapepe, full kicheche, oh, oh
Kata ya msipe najuta kupenda, ulichonitenda, yeah
Uliniacha mi mpweke ukisubiri niteseke, kina fulani wanicheke darling, yeah, yeah
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Sikia love imegeuka glass mara tugonge cheers
Silipi kisasi na nitatoka cheers, bora nije kwa risasi umenishoot nishajifia
Ila moyo inanipain basi navumilia
Mbona mi nasikia halafu na bushit, watu wakiniambia nawaona wazushi
Ni kama message imefika ma please hit back, kwangu malaika unafeel this track
Niko me na TID tunalia everyday, hata kula sijisikii muulize hata master Jay
Niko tu saa zingine nakuwaza kila saa, naona kama wana bana ukishine nakachaa
Ukiwa haupo naku miss, ila siamini nikiondoka unanidiss
Nataka tuishi kwa peace, please mi niamini kukuacha sio rahisi
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa, sasa nimekubali
Sasa nime kubali
Eeh, ooh, ooh, nimkubali
Written by: Khalid Salum Mohamed, T.i.D.
instagramSharePathic_arrow_out