Letras

Sina kizunguzungu uh mama you take me far away
Nashukuru Mungu kunikutansha mi ma we
Kuna wengi nimeona, vingi nmeongea ila we una chuma, kila ukisogea
Na mi sioni sisikii kwa vile unavonipa mamaa sababu nakupenda sanaa, na vile ulivonipa janaa, niongezee
Tena sioni sisikii, kwa vile unavonipa mama, sababu nakupenda sanaa, na kile ulichonipa jana niongeze
Mi nataka ufahamu (Mimi kwako siwezii)
Mi nataka ufahamu (Navokupenda mamaa)
Mi nataka ufahamu (Upendo wangu jinsi ulivo kwako mamaa), mi nataka ufahamu
Natakaa, baby, ah nataka (Mi nataka), twende nyumban nataka, na kanisan (Mi natakaa)
Wewe na mimi milele aanh
Baby draw mi nshakuja kukupika, tukale bata la maisha mimi na wewe
And I know mashoga zako wakutisha, eti kudanga ndo maishaa, acha unielewe
Twende baby mwana njenje, kimahaba we unichezee
Upande ushuke na unidekee mi mamaa
Tena sioni sisikii, kwa vile unavonipa mamaa, sababu nakupenda sanaa na kile ulichonipa jana niongezee (Mi nataka ufahamu)
We ndo wa ubani (Mi nataka ufahamu), na kwako kuna thamani (Mi nataka ufahamu)
Tumeanza toka zamanii (Mi nataka ufahamu), nataka mimi, ah-ah nataka (Mi nataka)
Twende nyumbani (Mi nataka), na kanisani (Mi nataka) wewe na mimi milelee (Mi nataka)
Twende nyumbani (Mi nataka), na kanisani (Mi nataka) wewe na mimi milelee
Written by:
instagramSharePathic_arrow_out