Top Songs By Mercy Masika
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Mercy Masika
Stimme und Gesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Mercy Masika
Songwriter:in
Wolf Wörz
Komponist:in
Lornah Woerz
Texte
PRODUKTION UND TECHNIK
Still Alive Production
Co-Produzent:in
Lyrics
[Verse 1]
Huyu Yesu si sanamu
Si mwanadamu adanganye
Ahadi zake zote kweli
Na aminaa nimemuona
Mmh akisema ndio hakuna wa kumpinga
Akikubariki hakuna wa kunyang'anya
Akikuhaidi kwa wakati atimiza
Anavyokuita ndivyo ulivyo
[Chorus]
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
[Verse 2]
Umetangaziwa nini
Umetabiriwa nini
Maishani mwako mwambie
Unaumizwa na nini
Je una hofu gani
Maishani mwako mwambiee
Akisema ndio hakuna wa kumpingaa
Akikubariki hakuna wa kunyang'anya
Akikuhaidi kwa wakati atimiza
Anavyokuita ndivyo ulivyo ooh
[Chorus]
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
[Chorus]
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
[Chorus]
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie
Written by: Lornah Woerz, Mercy Masika, Wolf Wörz