Music Video

Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Nandy
Nandy
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter:in

Lyrics

Yaani tushawaloga walioshika manyanga
Si walipaka poda na chale wakachanja
Na kwenye vilinge udaku kwa madoti ya kanga
Nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karanga
Imegeuka shilingi wanalia (Wameyamwaga)
Walidhani magimbi kumbe beer (Wameyavaga)
Tuwapaka wino, machino, wenyewe wamechimba shimo
Moja jino kwa kisigino wananunga tera nawazidi kimo
Ooh yeah hatucheki na ndezi, ni mwendo wa dozi
Kama wagonjwa nawapa ulezi, ooh yaa hatuwabembelezi
Nikimake navimba kibaria, kamba kwa buti nakazia
Wakipiga kunuti napangua, kwa ukubwa wa show wanapaliwa
Naitekenya-kete, wakipangua cheche, miluzi makeke mteja na kete
Saluti, kuruti, katekenya kacheka kanyuti, bunduki, baruti utapepea ka parachuti
Tuwapaka wino, machino, wenyewe wamechimba shimo
Moja jino kwa kisigino wananunga tera nawazidi kimo
Ooh yeah hatucheki na ndesi, ni mwendo wa dozi
Kama wagonjwa nawapa ulezi, ooh yaa hatuwabembelezi
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out