Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Nandy
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter:in
Lyrics
[Verse 1]
Uzuri wako mashallah
Na macho yako ndo balaah
Sauti yako noma sana
Na mwendo wako ndo balaah
[Verse 2]
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
[Chorus]
Me hazipo (Hazipo)
Kwa ajili yako mwenzio me hazipo baba (Hazipo)
Akili me hazipo bwana (Hazipo)
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba (Hazipo)
[Bridge]
Ayaah aah eeh yee iyeye iyeye
[Verse 3]
Sistimu nyingi kichwani akili zangu baba aah
Sijitamani nifikirie sana aah
Usinipe maruani me moyo utaamaa
Na mashetani yanapenda kwa manaa aah
[Verse 4]
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
[Chorus]
Me hazipo (Hazipo)
Kwa ajili yako mwenzio me hazipo baba (Hazipo)
Akili me hazipo bwana (Hazipo)
Kwa ajili yako mwenzio me hazipo baba (Hazipo)
[Verse 5]
'Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo
'Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
[Verse 6]
Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo
Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo
Mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo
[Chorus]
Mwenzio mie hazipo (Hazipo)
Kwa ajili yako mwenzio me hazipo baba (Hazipo)
Akili me hazipo bwana (Hazipo)
Kwa ajili yako mwenzio me hazipo baba (Hazipo)
[Outro]
Hazipo oh yeah
Hazipo oh wee yeah
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga