Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Nandy
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Komponist:in
Lyrics
[Verse 1]
Maembe suru chuku-chuku ni sosomolee
Mi naning'inia kwa marati nipopoe
Kiduchu nipe tena baba niue
Mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe
[Verse 2]
Mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu
Usiskize watu wananongwa mbaya
[Verse 3]
Basi nifanyie kitu na box (Lazizi wee)
Usiku nipe shoti (Lazizi wee)
Ama ishike magoti (Lazizi wee)
Nileweshe mkomboti (Lazizi wee)
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy oooh ah
Ukienda zako mi nitanyong'onyea
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy oh ah
[Chorus]
Ukienda zako mi nitanyong'onyea (Acha lizame!)
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea (Acha jua lizame!)
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea (Acha lizame!)
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea (Acha jua lizame)
[Verse 4]
Mama unafanya tembo kutwa nadindisha (Mkonga)
We ndo kiboko ya warembo wale wanaojipitisha (Vitonga)
Penye dhiki na shuruba, mikeko ndo ulinikumbata
Piki-piki upande Uber, popote nilipo ukanifwata
[Verse 5]
Mimi bado wananiita mzugaji (Nilingojea)
Sikidhi hata yako mahitaji (Nilingojea)
Sina biashara mtaji (Nilingojea)
Ulisema Mola ndo mpaji (Nilingojea)
[Verse 6]
Ooh maana nipande tumwage mbolea
Baby oh uh oh ah
Ukitaka tena tutaendelea (Oh oh ooh)
Shamba mwaga maji nimwage mbolea
My baby oh uh oh ah
[Chorus]
Ukitaka tena tutaendelea (Acha lizame!)
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea (Acha jua lizame!)
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea (Acha lizame!)
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea (Acha jua lizame)
[Verse 7]
Why mimi kuuliza, bora ningejitengea oh nah nah
Oii boy boy, ooii boy-boy eh
Yeah, yeah, yeah, yeah, oii boy boy
[Outro]
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Asa why mimi kuuliza bora ningejitengea
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga