Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Zabron Singers
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Zabron Singers
Songwriter:in
Marco Joseph Bukulu
Songwriter:in
Emmanuel Zabron Philipo
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Marco Joseph Bukulu
Produzent:in
Lyrics
[Verse 1]
Naona leo mpo kwa ajili yetu wacha turinge
Namshukuru Mungu kwa upendo wenu wacha tudeke
Kuna vigelegele kwa ajili yetu wacha turinge
Hii yote baby kwa ajili yetu wacha tudeke
[Verse 2]
Nitambulishe, nitambulishe Kwa ndugu zako nitambulishe
Tayari tu familia moja wangu baby, nitambulishe
[Verse 3]
Ndugu zangu ni wale pale na wazazi wako pale
Marafiki wako pale, wengine tumesoma nao
Tukate keki pole pole, nilishe kipande kidogo
Huku ukisema ndiyo nami ninasema ndiyo
[Verse 4]
Wakwe zako wako pale, shemeji zako wako pales
Wifi zako wako pale Sikia vigelegele pale
[PreChorus]
Asante kwa kuja kiukweli nimependa
Kampani yeni imeipenda
Asante kwa kuja kiukweli nimependa
Kampani yeni imeipenda
[Chorus]
Mpenzi wangu (Wa moyo wangu) si maneno nakupenda kwa vitendo
Honey wangu (Wa moyo wangu) nikikuudhi naomba unisamehe
Sweet wangu (Wa moyo wangu) tukazae na watoto tufurahi
Hee nakupenda (Mwa ndani wangu) ndoa yetu iwe ndoa ya amani
Mpenzi wangu (Wa moyo wangu) si maneno ntakupenda kwa vitendo
Baby baby (honey) nikikuudhi naomba unisamehe
Nakupenda (Mwa ndani wangu) Tukazae na watoto tufurahi
Wangu wangu (mwa ndani wangu) ndoa yetu iwe ndoa ya amani
[Verse 5]
Mwenzi wangu deka panda pole pole honey
Safari ishaanza mpenzi tufurahi
Mwenzi wangu deka panda pole pole honey
Safari ishaanza mpenzi tufurahi
[Verse 6]
Upendo uwe ule ule na maombi yale yale
Tudumishe vile vile kama tulivyo apa kule
Ntakupenda vile vile ntasamehe vile vile
Si nilisema nawe ukasema ndio
[Verse 7]
Ndoa idumu milele tuzikwepe changamoto
Sisi ni binadamu hata tukikosana tusamehehane
Baby tuyazibe masikio kwa lolote
Tumsikie Mungu awe ndie kiongozi
Upendo ukajae tele tele washangae, mpenzi
[PreChorus]
Asante kwa kuja kiukweli nimependa
Kampani yeni imeipenda
Asante kwa kuja kiukweli nimependa
Kampani yeni imeipenda
Asante kwa kuja kiukweli nimependa
Kampani yeni imeipenda
Kupenda nimependa
[Chorus]
Mpenzi wangu (Wa moyo wangu) si maneno nakupenda kwa vitendo
Honey wangu (Wa moyo wangu) nikikuudhi naomba unisamehe
Sweet wangu (Wa moyo wangu) tukazae na watoto tufurahi
Hee nakupenda (Mwa ndani wangu) ndoa yetu iwe ndoa ya amani
Mpenzi wangu (Wa moyo wangu) si maneno ntakupenda kwa vitendo
Baby baby (honey) nikikuudhi naomba unisamehe
Nakupenda (Mwa ndani wangu) Tukazae na watoto tufurahi
Wangu wangu (Mwa ndani wangu) ndoa yetu iwe ndoa ya amani
Written by: Emmanuel Zabron Philipo, Marco Joseph Bukulu