Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Robby Vibe
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Robert Msangi
Komponist:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Robby Vibe
Produzent:in
Robert Msangi
Mastering-Ingenieur:in
Lyrics
[Verse 1]
Ya habibi
Mapenzi yako Nomaa
Unayonipa komaa
Limejaaa kopa kopaa, kopaa
[Verse 2]
Naongeza bidii kama nasomaa aah
Kitandani ngoma, ngoma
Kama moto chomaaa
(Mmh)
[PreChorus]
Na ulivyofundi wa vichai moto
Kabichi mboga na dongo
Napata mautamu (Nadata)
Jamani mautamu (Me nadata)
[PreChorus]
Tukila nyama samaki shomboo
Ukipika naosha viombo
Tunatesa kwa zamu
Kukucheat ndo haramu
[Chorus]
(Aah baby) Makopa kopa
(Aah baby ee) Makopa kopa
(I love you baby ee) Makopa kopa
(Aah) Makopa kopa
[Verse 3]
Eti now na me ninadeka
Ka nanuna kumbe nacheka
Msotupenda mtateseka
Mtaumia
[Verse 4]
Sio nguvu kama undertaker
Tena hachoki mwendo wa kukesha
Naweka picha mumuone
Me nampost mumuonee
[PreChorus]
Na ulivyofundi wa vichai moto
Kabichi mboga na dongo
Napata mautamu (Nadata)
Jamani mautamu (Me nadata)
[PreChorus]
Tukila nyama samaki shomboo
Ukipika naosha viombo
Tunatesa kwa zamu
Kukucheat ndo haramu
[Chorus]
(Aah baby) Makopa kopa
(Aah baby ee) Makopa kopa
(I love you baby ee) Makopa kopa
(Aah) Makopa kopa
Written by: Robert Msangi