Lyrics

Tapi Ares bado ndio Doc Aargh Lyrical assasin niki paisha immortality Gueza kipaji maternity kwa booth na deliver Mataa kwa mitaa si face me nipate mitre Till then on this Nika nalipisha kisasi ka kasisi kwa ki zazi kipya Hapa kuangalia saa zii Uhodari kuchongwa uchukua muda Nikiandika mystari upya needing Var niki come na fire Kuni de throne kwa hii empire uta need umpire My thoughts bonfire lets just start juu msamaa mbaya Na please dont break your neck juu ya ku nod head Vile nili touch down fans wali sleep on me Bila makofi nili feel umcomfy, nika soma copy Chap chap that woke up me nika smell coffee On this instance success haitakua instant ndio picha From a distance I knew lazima ni create change ndio ni get chance Beyond bars, I needed to shake it up, ni break mould Ku bring heat to rappers walikua wameaza ku get cold Vile gate keepers walikua na strong hold kwa hii game Its a shame we blocked while we free, unless we pay a fee Na cartel anaweza top charts akiwa behind bars I can tell hatuko huru, but you know me dog Always working on a sulu-ishow No matter what the mission sijawai lack vision See me moving bricks to give my communitee Might miss ukiwa blond sniping mission kwanza nikiwa juu ya ki bond seven Leave fans wakisema ooo ooo saba Bisha mlango with bold moves Linked up with MJ, Keffa, Evano na Brima DKC, yes thats ma family, what one can do five can do better You can see it clearly we build the raft to get them bread na butter Kufungia talent ni njia kawa tu those with cowardly ways (Wakisema siwezi cheza juu na nafanya quality control) Hoping uta dig deep mbosho ndio your records zipate spins What they miss ni hizi spins ndio zinifaa kufurisha pori As you approach unakua porched ns just like that umekaziwa Key ya ngazi kwa pori ujui utatoa wapi ya andazi See men stressing, mapenzi ya shuka, less benz on road Unaweza ipokea ka ujumbe ujue ya mbele Au uenda ikawa haya natunga nukisonga Haidhuru we create worlds with our words As a man thinketh so he liveth Ama ni be-eth probably behave As long as si enclave na weza exhale Nway let me proceed nipate proceeds niki push my posse for all to see But first things first Let me big those that laced me to cure hii kiu Curtis Wa Kijee hip-hop Republik 1st radio play thank you Coco sobo na DJ Jessie kwa take off walinishow niko satified That left me satisfied for a minute but I am going for greatness Nafsi Huru pushed me to the People Daily Made it to a few charts wadd up Kennie Limuru wanajua Wa Furu brings that fire Am in building na na lay my claim Ares blessed me, Vice said I raps nice Afrvka so the vision sidai vitisho Kunta alishow love Gitosh akaleta magic touch Upcoming ana rap na royalty wha gwan Brainman My baby growing quick n she need that yard before she 18 Thats why niko me fighting Me na Bura Tuna kick in doors wakujua existed While they act we dont exist But soon come we be send them to the nearest exit Rev Jeos about to blow up This right here naipon vile imeandikwa ndio inatamukwa hakuna typo Big up plate sahani kubwa juu nadai jasho ya mi si mi we se we baki a-sa-po uki tarajia ma tarajio ya mi si mi Hii right here ni PSA, Tapi is here, so mkeep hizi exit clear Ukiskia ding, watch them fly out ya ring Utilizing insomnia ku-bring my dreams near Walio nipa loyalty watapata royalties Cover clear ya a few magazines unaweza isoma kwa magazeti Ku make my familia wamange zebu hakuna kitu swezi Leaving teeth marks ka Suarez ngware iva kwa quarry Pitia masimba kuona Moyale, yep thats my people Waki peep hao people walio zaliwa karibu na pipa Vile walivyo badili maneno yaka leta malipo Yagi yoo yagi yao Its a heavy load kwa slippery road Bless me lord nitoe my people kwa hizi struggle For my first blood precision ni ya Rambo kwa haya mambo Ni baki kwa jungle unchained ku survive kwa hii janga Inabidi kujipanga eneza upendo kwa wote bila malipo Chorea iyo panga Maji maji uprising now ni ya mental Unaweza come nikushow method Hizo physical uta need Dettol Sometimes tuna obsfusticate, yeah Your real importance unekana uki arrive late And with that said It wont be funny madam ulidate akisema the rains late Mate only way you win this debate ni uki utter less thats what it takes Probably its bout time ni take a break Hii si off the head it was written (written)
Writer(s): Peter Mutisya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out