Top Songs By Joefes
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Joefes
Künstler:in
Mbuzi Gang
Künstler:in
Fathermoh
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Joseph Nyamwea
Songwriter:in
Moses Otieno
Songwriter:in
Mike Makori
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Peter Ochieng Otieno
Produzent:in
Lyrics
Unaskia beat unatetema, nina kutu hadi kwa booth mi hukula itina
Flex na ngeus jina yake makena, ako fine-fine wine, shida mdomo mathena
Unaskia beat unatetema, nina kutu hadi kwa booth mi hukula itina
Flex na ngeus jina yake makena, ako fine-fine wine, shida mdomo mathena
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem job ni ngeus wagithomo, ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem job ni ngeus wagithomo, kana bubble kanapendaga mdomo
Buda boss kumbe ngeus ni wagithomo, anadai D na venye hapendi masomo
Msomo, naeza floss sipendi mdomo, si formal, itabidi niseti kokomo
Si normal, chura kupatana na ong'ong'o, kwa ng'ango skinny **** kupatana na momo
Na hormones zake zimepanda past kong'o, leo ni manduru na masifa ni za Thiong'o
Ka ni ngeus wagithomo na anatupa mdomo, ka ana bonga chafu nakasafisha na omo
Kanalia Lia kanyamazishe na lolo, na unaeza kapatia juu kanawashwa na hormones
Ka ni bash kanakujanga na kiondo, kanakatanga mabeer nyi mkikatanga mavodo
Color clash na navibe na opondo, anataka tu kasoup na samaki ya kamongo
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem joh ni ngeus wa Githomo, ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem joh ni ngeus wa Githomo, wa Githomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, kana bubble kanapendaga mdomo
Kuomoka ni ka chupi, siezi kuambia rangi na ukizua zogo bado unapanguzwa
Nacheza kiubazenga siwezi ka mhenga, noma ni afande anataka ka sina
Hujui kurequest hadi rachu anakunyima, ati uko na tattoo kumbe buda ni ufucha
Hujui kurequest hadi rachu anakunyima, na bado anagawa na bado ye hakujengi
Knock-knock who's there? Boys wagithomo, gang-gang niaje swat si unipee hadi kong'o
Bombo, mi ni ras na sipendi local, fofo nimechapa na ikalala fofo
Don't touch ka ni toja nimepiga lombo, nono hadai straight anataka kombo
Chobo rise biz ngafu chomoa hadi koko, jogoo siezi mind shimo ka ni nono
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, kana bubble kanapendaga mdomo
Manigga wamenyanya kijapan nigasaki, ****, **** ****
Manjege wapige looku kesho wote wakuje kambi, kurutu wanakutu mi nataka wapakwe rangi
Zima hio kitu ka imenuka imeoza, akibonga shit mwambie aende akaoge
Kijana mpole smart occupation pickpocket, mangeus wameiva wanakaa imported
Ukiulizwa hupatikani nakuuliza uko hali gani? Na uko fiti uko rahani nakulola uko rahani
Ilikuwaga we na nani? Tulia kwanza we ni nani? Ilikuwaga we nani? Tulia kwanza we ni nani?
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem job ni ngeus wagithomo, ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo, wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem job ni ngeus wagithomo, kana bubble kanapendaga mdomo
Written by: Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno