Letras

Huh, mmh Mmmm mm-mmh(stunna man) Mmmm mm-mmh(ni stunna man) Mmmm mmh(aai) Kwanza napenda unavyo pooose(huh huh huh) Mmmm mmh(krrrrr krrr krrrr) Stunna man huh(mmmh mm-mmh) Stunna man huh(mmmh mh mmh mh) Kwanza na, kwanza na, kwanza napenda unavyopose Cheki mwili yako baby bado unaglow Niaje unaamka sisi bado hatujadoz Sipotezi wakati nikonayo yo yo yo Wo wo wo wo Kwanza napenda unavyopose Cheki mwili yako baby bado unaglow Niaje unaamka sisi bado hatujadoz Sipotezi wakati nikonayo yo yo yo Wo wo wo wo wo wo wo wo Uh, uh, uh, venye wakaa s kawaida Naeza kuseti sensimina Na unafanya nasahau adi jina, waitwa nani mi bonita Uh, venye wakaa s kawaida Naeza kuseti sensimina Na unafanya nasahau adi jina, waitwa nani mi bonita There is no pretending na ka wakona beef Ntawapata venchys waambie kama battery Niko ever ready nashika mpaka power Mambo yangu heavy, baby kweli Na sidanganyi uko fine mama Wasikuguze wakijaribu hiyo ni lawama Na ona chuki huku pekee ndio inawashana Ma vijana wantaka ati drama mam(skia cheki) Nipee location nakuambia tukipatana Ati yoh, ntakupeleka na rada tukilinki Najua pia unapenda vitu kinky Hizo ndio tabia unapenda ukiwa machingri Ni bad gyal akona degree Ameenda chuo rada zake huwezi soma Ma nigga wanadai kujua ka nishaigonga I don't kiss and tell nilikua tu namchoma Za ex wake hazikuwanga na aroma (Ananijaz)Hachoke na hiyo moshi ni strong (Ananijaz)Hachoke na hiyo kitu ni long(anadai) Nimrecord lakini sura nicrop Venye naishanda mi ni ka King Von (Ananijaz)Hachoke na hiyo moshi ni strong (Ananijaz)Hachoke na hiyo kitu ni long(anadai) Nimrecord lakini sura nicrop Venye naishanda mi ni ka King Von (Venye wa venye wa venye wa venye wa) Mh, venye wakaa s kawaida Naeza kuseti sensimina Na unafanya nasahau adi jina, waitwa nani mi bonita Uh, venye wakaa s kawaida Naeza kuseti sensimina Na unafanya nasahau adi jina, waitwa nani mi bonita Yeah ey, napendanga beef naipiga kiss Jean ikijitoa utanimiss, kitu ni sucrose nice Kitu ni sweet piga kitu speak all night akue mc Akona discipline ju akona nini Akona boyfriend akona rizz Akona mystery yaani mysterious Akona boyfriend na akona me Yeah, maanake ati umelate unadoz? We nionyeshe ID mi staki jokes Location private boss usikue mnosy Jua hii bash si ya mnose Inageuzwa once alafu pause(pause) Ukiturn unalost Inachanganya the young and the old The tough and the bold now if you must know Mh mh venye wakaa s kawaida Naeza kuseti sensimina Na unafanya nasahau adi jina, waitwa nani mi bonita Kwanza napenda unavyopose Cheki mwili yako baby bado unaglow Niaje unaamka sisi bado hatujadoz Sipotezi wakati nikonayo yo yo yo Wo wo wo wo Kwanza napenda unavyopose Cheki mwili yako baby bado unaglow Niaje unaamka sisi bado hatujadoz Sipotezi wakati nikonayo yo yo yo Wo wo wo wo wo wo wo woo Mmmh mm-mmh Mmmh mm-mmh Mm-mmh mm-mmh Mm-mmh mm-mmh Huh huh huh(krrrrr) mm-mmh mm-mmh Stunna man(mm-mmh mm-mmh) Mm-mmh Mmm
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out