Letras

'Caus eleo ni kutesa
Nadiaa
Nadia!
Form ni kutesa
Fena nanana
'Cause leo ni kutesa
Yeah, yeah
Form ni kutesa
Issa Friday night, ita wenzako waambie
Kuna party tonight, no time sasa wakimbie
Chelewa, chelewa mwana si wako na uchunge usije hepa na wako, huo mchele usijetiliwa kwako baby
Ikibamba sana piga kelele wewe
Eeh, eeh
Na kama ni noma sana piga kelele wewe
Eeh, eeh
Boomerang dance on the dance floor, fine girls dance on the dance floor, Hennessy pour on the dance floor
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
Baada ya kazi nimeingiza doh sina preassure, kwenye burudani nilipiga show nilitesa
Big up dem fine girl in a pretty likkle skirt, young man in an African shirt
Wave your hand then do the odi dance and shake your bum like you know what you are worth
All of thr drinks on me, mifuko imejaa leo, imejaa pesa
And if you look at me, looku looku vile natesa
Naikibamba sana wapi nduru wewee
Eeh, eeh
Na kama ni noma sana piga kelele
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
Niko na form, usiku to dawn, mbogi iko zone, imewasha kindom
Keti mbaya tukucon, tukuteke kwa chuom, Fena na Papa Jones, Nadia hapa ndo Don
Though simpati kwa phone, naskia ako salon, juu leo mi ndo the bomb, club pia imechrome
Mbogi mpaka ya Ngong, imebambika na songs, zile si huperform, rende pia ni wrong
Niko juu ya nyama ya Bama na kachumbari, na juu ya diabetes chai hatuweki sukari
Plans saa hizi imetufikisha huko Kariorkor, walevi washaanza kulewa wamekalia floor
Anaskia form ni kutesa, tusimalize ganji ndo mtaa turudi kalesa
Waka nesa mavado bila chaser, hakuna kulala tunakesha tukitesa
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa, tesa, form ni kutesa
Written by: Fena Gitu, Khaligraph Jones, Nadia Mukami
instagramSharePathic_arrow_out